Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Video Teaser)
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
07 Jul
11 years ago
Bongo506 Jul
Video: Teaser ya video ya ‘Mdogo Mdogo’ ya Diamond — Ni shidaaaaa!!
“This video is going to be best video in Africa 2014,” inasomeka moja ya comments kwenye teaser ya video ya Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz inayotarajiwa kutoka Jumatatu hii. “OMG, thats all i can say,” ameandika mwingine. Hii video italeta shida Afrika. Jionee mwenyewe.
11 years ago
GPL13 Jun
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3mD1Sv-p7cI/default.jpg)
11 years ago
Bongo509 Jul
Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)
Kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video ya ‘Mdogo mdogo’ ya Diamond Platnumz iliyotoka Jumatatu ya wiki hii. Wapo ambao wamefurahishwa na story iliyoko kwenye video hiyo na wengine ambao hawajaiunga mkono moja kwa moja kutokana na kila mmoja kuwa na sababu tofauti hali ambayo imeleta mabishano mengi katika comments za youtube na kwingine. Lakini […]
11 years ago
Bongo507 Jul
Tazama video mbili mpya za Diamond (Bum Bum na Mdogo Mdogo) hapa
Kama alivyoahidi, Diamond Platnumz ameachia video mbili za ngoma zake. Ya kwanza ni Mdogo Mdogo iliyoongozwa na Godfather na kufanyika Afrika Kusini na ya pili ni Bum Bum aliyomshirikisha Iyanya na kuongozwa na Mr Moe Musa nchini Uingereza. Zitazame hapa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania