Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND PLATNUMZ ALIOVYOTAMBA KATIKA BET RED CARPET HUKO MAREKANI

Hapa Diamond aligeuka nakukuta aliye mvuta koti ni Nelly ambaye alimwambia congratulations.Camrea yetu ilimpata Platnum katika poz hili
Picha iliyotamba kwenye Blogs za marekani jana -Diamond katika Poz la Kisheria Ngowi. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz atanua katika Red Carpet ya BET Awards huko California

Diamond Platnumz akikaribishwa katika Red Carpet ya BET Awards huko California  Singer Diamond Platnumz attends the BET AWARDS '14 at Nokia Theatre L.A. LIVE on June 29, 2014 in Los Angeles, California. Diamond Platnumz katika Red Carpet ya BET Awards huko California. Hapo kala vitu vya Sheria Ngowi na viatu vya Gucci. Utamtaka! Picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz BET Red Carpet and Behind the Scene !

 

 Behind the scene Diamond akihojiwa na Factory 78 ya UK.

   Behind The Scene Diamond akiwa na Super Designer aliyedesign Suit ya Diamond –Mr Sheria Ngowi.   Diamond akihojiwa na Karrueche Tran Kwenye Red Carpet (Karrueche ni Girlfriend wa Chris brown).   Singer Faith Evans ambaye ni Mke wa Marehemu BIG alipata nafasi yakupiga picha na Diamond.  

 Camera yetu ilimpata Platnum katika poz hili.

1404171715015 

Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya Mapaparazi zaidi ya...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA BET RED CARPET NA BEHIND THE SCENE

Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya mapaparazi zaidi ya 200. Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na suti yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo Waingereza wanasema  "Well Tailored Suit" By Designer Sheria Ngowi . Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita.… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Diamond uso kwa uso na Nelly kwenye red carpet ya tuzo za BET nchini Marekani

Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platinumz a.k.a Rais wa wasafi leo amepost picha akisalimiana na msanii wa muziki wa kufokafoka wa nchini Marekani Nelly kwenye red carpet wakati wa sherehe za tuzo za BET ambapo ameandika hivi ” Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi… kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN

Msanii Diamond Platnumz akihojiwa wakati wa uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN jana.…

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani