Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Platnumz kushirikiana na Mziiki

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza ushirikiano wake na kampuni inayoendesha programu ya Mziiki.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Spice VAS Africa wanaoendesha programu hiyo ya Mziiki,Arun Nagar na kushoto ni Meneja wa Diamond Platinumz,Babu Talle.
Mkali wa Bongo Flava Tanzania Diamond Platnumz amepewa nafasi ya kushirikiana na Mziiki kama Brand Partner. Msanii huyu ambaye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Diamond Platnumz partners with the Mziiki team

Tanzanian Bongo Flava superstar Diamond Platnumz has been welcomed into the Mziiki family as Brand Partner. The multi-award winning artist is the first one to sign on as a Brand Partner and is already one of the hundreds of exclusively licensed African artists on Africa’s favourite mobile music streaming app, as well as becoming the […]

 

10 years ago

Michuzi

MZIIKI KWA KUSHIRIKIANA NA VODACOM TANZANIA YANOGESHA ZARI ALL-WHITE PARTY


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platinumz ambaye ni balozi wa Mziiki ambayo ni program ya simu za mkononi (mobile app) ya Vodacom Tanzania akiimba jukwaani Zari White Party iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. App hiyo inawaletea wateja burudani ya muziki kiganjani. Picha zote na Cathbert Angelo Kajuna wa Kajunason Blog.Mchumba wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platinum... Bibie Zari the bossylady akiwashukuru Watanzania waliofika...

 

10 years ago

Michuzi

Diamond Platinumz aibukia programu ya Mziiki

Nyota wa muziki wa bongo flava nchini Diamond Platinumz amewataka wasanii wa Tanzania kusambaza nyimbo zao kwa njia ya teknolojia kama vile Mziiki iliyozinduliwa hivi karibuni ili ziweze kuwafikia watu wengi na kwa wakati huohuo wanamuziki pia kunufaika na jasho lao.
Diamond anasema kuwa  ameamua kazi zake kuziingiza sokoni tofauti na kazi zake za nyuma ambapo baada ya  kushauriana na wadau anaoshirikiana nao kikazi ameamua aingie sokoni kwa njia ya kidigitali kupitia programu ya Mziiki...

 

10 years ago

Vijimambo

Diamond Platinumz aibukia programu ya Mziiki

Nyota wa muziki wa bongo flava nchini Diamond Platinumz amewataka wasanii wa Tanzania kusambaza nyimbo zao kwa njia ya teknolojia kama vile Mziiki iliyozinduliwa hivi karibuni ili ziweze kuwafikia watu wengi na kwa wakati huohuo wanamuziki pia kunufaika na jasho lao.
Diamond anasema kuwa  ameamua kazi zake kuziingiza sokoni tofauti na kazi zake za nyuma ambapo baada ya  kushauriana na wadau anaoshirikiana nao kikazi ameamua aingie sokoni kwa njia ya kidigitali kupitia programu ya Mziiki...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KAZINI

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na vijana wake wakifanya maandalizi kwa ajili ya shoo yao ya kesho Januari 8, 2015 jijini Lagos, Nigeria kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika 2014.

 

10 years ago

Africanjam.Com

DIAMOND PLATNUMZ PROFILE


Nasibu Abdul Juma (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz (or simply Diamond), is a Bongo Flava recording artist and singer from Tanzania. He is best known for his hit song "Number One". Diamond has won numerous awards at Channel O and the Prestigious HiPipo Music Awards. He performed at
the Big Brother Africa 7 eviction show in May 2012. Diamond is considered influential among his fans, and is said to be the most loved and decorated Tanzanian artist at the...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani