Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diaspora kuwekeza hisa, mtaji UTT

Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora), wameonyesha mwamko wa uwekezaji wa hisa na mitaji katika mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), kutokana na elimu waliyoipata.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Watanzania washauriwa kuwekeza katika Hisa Kukuza Mtaji

Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwekeza katika hisa na kutumia fursa za kibenki kwaajili ya kujiwekea akiba ya matumizi ya baadaye ili kuondokana na mazingira magumu ya kiuchumi.

Takwimu zinaonesha kuwa, mataifa mbalimbali yaliyoendelea duniani, yameweza kuwa na uchumi imara kutokana na uwekezaji katika sekta binafsi na ushirikishwaji wa  wananchi katika shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Katika mkutano wa 10 wa mwaka wa Mfuko wa Umoja wa kampuni ya Uwekezaji Tanzania (UTT) wenye...

 

9 years ago

Michuzi

UTT AMIS YAHAMASISHA WANAVIKOBA ARUSHA KUWEKEZA

Mratibu wa Alliance For Social Education (ASE), Sunayritha Tawata akimkaribisha Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga (kushoto) katika semina ya Uwekezaji wa Pamoja iliyofanyika jijini Arusha.Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akizungumza katika semina ya uwekezaji wa Pamoja uliofanyika jijini Arusha.Baadhi ya washiriki wa semina ya Uwekezaji wa Pamoja wakisikiliza mada.Ofisa Masoko Mkufunzi wa UTT AMIS, Waziri Ramadhan akitoa mada katika semina ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkombozi yaanza kuuza hisa zake kukuza mtaji kufikia Sh18 bilioni

Benki ya Biashara ya Mkombozi imezindua uuzaji wa hisa zake kwa mpango wa stahiki (haki yako) unaolenga kukuza uchumi na mtaji wake kutoka Sh12 bilioni hadi Sh18 bilioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wengi bado wana kigugumizi kuwekeza fedha soko la hisa

Wengi hawaamini kwamba kupitia soko la hisa, mtu anaweza akawa na kipato kizuri kinachoingia bila kufanya kazi bali fedha yake ndiyo inayomtumikia kwa kumzalishia faida mara dufu.

 

9 years ago

Vijimambo

STANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Ken Cockerill akiongea na wa habari kuhusiana na benki hiyo ilivyofanikisha Benki ya PTA kuwekeza amana zenye thamani ya shilingi 32.6bn kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam ambazo zitasaidia kuboresha miundo mbinu ya umeme nchini kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO).mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam

 

9 years ago

Dewji Blog

UTT-PID yashiriki mkutano wa mwaka wa Wanahisa wa UTT-AMIS jijini Dar es Salaam!

1 (1)

Maafisa masoko wa UTT-PID, Laurence Nzuki  (kushoto) na  Martin Mchanjila (katikati) wakitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliotembelea kwenye banda hilo la UTT-PID wakati wa mkutano huo wa mwaka wa Wanahisa wa UTT-AMIS uliofanyika mwishoni mwa wiki, Novemba 21-22.2015, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID)  inafanya miradi mbalimbali ikiwemo  huduma za uuzwaji wa viwanja katika...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani