Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania washauriwa kuwekeza katika Hisa Kukuza Mtaji

Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwekeza katika hisa na kutumia fursa za kibenki kwaajili ya kujiwekea akiba ya matumizi ya baadaye ili kuondokana na mazingira magumu ya kiuchumi.

Takwimu zinaonesha kuwa, mataifa mbalimbali yaliyoendelea duniani, yameweza kuwa na uchumi imara kutokana na uwekezaji katika sekta binafsi na ushirikishwaji wa  wananchi katika shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Katika mkutano wa 10 wa mwaka wa Mfuko wa Umoja wa kampuni ya Uwekezaji Tanzania (UTT) wenye...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Diaspora kuwekeza hisa, mtaji UTT

Watanzania wanaoishi nje ya nchi (Diaspora), wameonyesha mwamko wa uwekezaji wa hisa na mitaji katika mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), kutokana na elimu waliyoipata.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkombozi yaanza kuuza hisa zake kukuza mtaji kufikia Sh18 bilioni

Benki ya Biashara ya Mkombozi imezindua uuzaji wa hisa zake kwa mpango wa stahiki (haki yako) unaolenga kukuza uchumi na mtaji wake kutoka Sh12 bilioni hadi Sh18 bilioni.

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKEZA NA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA

Watanzania Wameshauriwa Kuwekeza kwenye Mifuko Iliyo Chini ya Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Kwa Lengo la Kuwekeza kwaajili ya Maisha mara Baada ya Kusataafu.
Wito Huo Umetolewa  na Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano Kutoka Dhamana ya uwekezaji Tanzania Bwana Daudi Mbaga Wakati Akitoa Mada Kwenye Semina ya wafanyakazi Wanaokaribia Kustafu Inayoendelea Mkoani Morogoro.
Alisema Kwamba Watanzania Wengi huwa hawajui Nini Cha Kufanya Pindi Wanapostaafu Hali Inayosababisha Watanzania...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKEZA KWA KUWAJALI WATOTO

Mkuu wa Kitengo cha Usuluishi na Ushauri wa Sheria (katikati) akisisitiza jambo kwa wanahabari alipokuwa akitoa tamko kwa vyombo vya habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Valerie Msoka. Kushoto ni Mwanasheria wa Tamwa, Loyce Gondwe na kulia ni Mwanachama wa TAMWA, Marie Shaba. Mkutano wa waandishi wa habari pamoja na wawakilishi wa TAMWA wakisoma tamko lao juu ya umuhimu wa jamii kuwajali watoto.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Membe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika.  Mhe. Membe alitoa kauli hiyo wakati akilihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililoandaliwa na Balozi za Tanzania na Comoro kwa kushirikiana na sekta binafsi za nchi hizo mbili jijini Moroni, Comoro tarehe 23 Aprili, 2015.  “Watanzania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waislamu washauriwa kuwekeza kwenye elimu

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wametakiwa kuwekeza mali na fedha zao kwenye elimu hususan kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na yatima ili waweze kujikwamua kimasomo. Ushauri huo umetolewa na...

 

11 years ago

Habarileo

Wajenzi wazalendo washauriwa kuwekeza Kigamboni

KAMPUNI binafsi za kitanzania zimetakiwa kuwekeza katika ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni. Mwito huo ulitolewa bungeni leo na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene wakati akijibu swali la Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (CCM).

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani