Diego Costa aachwa katika timu ya taifa ya Hispania
Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania katika michezo miwili ya wiki ijayo. Kocha Vicent Del Bosque amesema hajafurahishwa na tabia ya mchezaji huyo aliyoifanya dhidi ya Arsenal. Hispania inahitaji point moja tu ili kufuzu katika michuano ya mataifa ya Ulaya na wiki ijayo itapambana na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Diego Costa na Gabriel washtakiwa na FA
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Diego Costa: Mimi si malaika
LONDON, England
MSHAMBULIAJI wa timu ya Chelsea, Diego Costa, amesema anajua kwamba yeye si malaika uwanjani na kwamba hatabadilisha mtindo wake wa uchezaji soka.
Costa amepigwa marufuku mechi tatu mara mbili mwaka huu, mara ya kwanza kwa kumkanyaga mchezaji wa Liverpool, Emre Can na mara ya pili kwa kumsukuma beki wa Arsenal, Laurent Koscielny.
“Nimefika mbali hivi kutokana na jinsi ninavyocheza,” mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliwaambia waandishi wa habari.
“Sitabadilisha hilo eti...
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Masaibu ya Diego Costa yaongezeka
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Diego Costa ajiunga na Chelsea
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Diego Costa kukosa michezo mitatu
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mourinho adai Diego Costa anaonewa
9 years ago
Bongo524 Oct
Diego Costa asema yeye si malaika
9 years ago
BBCSwahili24 Oct
Mimi si malaika, Diego Costa asema
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Higuain kumwondoa Diego Costa Chelsea
LONDON, ENGLAND
KLABU ya Chelsea imeanza kumfukuzia mshambuliaji wa Napoli, Gonzalo Higuain ambaye anaweza kuchukua
nafasi ya Diego Costa wakati wa dirisha dogo la usajili Januari mwakani.
Klabu hiyo imefanya maamuzi hayo baada ya kuona kwamba mchezaji wao huyo amekuwa na matukio mbalimbali ambayo hayaisaidia timu hiyo.
Kutokana na hali hiyo Costa ametakiwa kubadilika ili kuweza kuisaidia timu hiyo ambayo kwa sasa imekuwa na wakati mgumu katika michuano ya Ligi Kuu nchini England.
Hata...