Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIMPOZ, VANESSA MDEE MAHABA NIUE!

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, imedaiwa kuwa amemmwaga na kuhamishia ‘mahaba niue’ kwa mtoto mzuri anayefanya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee. Mbongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’,  na Vanessa Mdee wakila 'good time'. Tukio la kudhihirisha kwamba wawili hao ni wapendanao lilitokea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OMMY DIMPOZ, VANESSA MDEE WAFUNIKA FIESTA DAR

Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dar Leaders Club. Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akifana yake na Ommy Dimpoz.…

 

9 years ago

Bongo5

Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz washinda tuzo za Afrimma

Diamond Platnumz ameibuka na ushindi mkubwa zaidi kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika Dallas, Marekani alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki. Diamond ameshinda jumla ya tuzo tatu ikiwemo ya msanii wa mwaka Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu; Best Dance Video ya wimbo wake Nana, Best Male East Africa na Artiste Of The Year. “EA […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz waenda Marekani kwenye tuzo za Afrimma

Tuzo za African Muzik Magazine Awards, Afrimma zinatarajiwa kutolewa Jumamosi hii Oct. 10 jijini Dallas, Texas Marekani ambapo Tanzania inawakilishwa na wasanii saba. Baadhi ya wasanii wa Tanzania wanaowania tuzo hizo akiwemo Diamond, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz tayari wameondoka nchini kuelekea Marekani kuhudhuria sherehe ya utoaji wa tuzo hizo. “Asante Sana Tanzania nyie wapenzi […]

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee awashauri wasanii kuwekeza kwenye muziki kama yeye, Diamond na Ommy Dimpoz

Hii itakuwa ni wiki nzuri sana kwa Vanessa Mdee ambaye weekend iliyopita alifanikiwa kushinda tuzo ya Afrimma huko Dallas, Marekani pamoja na kuachia wimbo mpya ‘Never Ever’ na video yake. Vee Money ambaye amewashinda Victoria Kimani, Juliana Kanyomozi na Khadija Kopa kwenye kipengele cha ‘Best Female East Africa’, ametoa ushauri kwa wasanii wengine wa Tanzania […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz, Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz ndani ya “Celebrity Party” Houston Texas Ijumaa hii 0ct 9

VANESSA  MDEE PERFORMING LIVE

      DIAMOND  PLATNUMZ – HOST

       OMMY DIMPOZ -HOST
KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MAREKANI ” 3 SUPERSTARS IN ONE NIGHT                                                                      #HOUSTON TEXAS ONLY !

 

 

11 years ago

GPL

LUNGI NA MAHABA NIUE

MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12 mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano wa...

 

10 years ago

GPL

WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!

WAANDISHI WETU
WAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother...

 

11 years ago

GPL

SNURA AGANDWA NA MAHABA NIUE

STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi anaonekana kugandwa na mahaba niue baada ya hivi karibuni kuanika hisia zake na kuonesha dhahiri kuwa amezama vilivyo kwenye penzi motomoto la jamaa yake aitwaye Hunter Sleiyum.  Staa wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi akiwa kwenye mahaba mazito na boyfriend wake aitwaye Hunter Sleiyum. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Snura aliwataka wanaume wakware waache kumsumbua kwa sababu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani