Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIRA: Matumaini ya kupata Katiba bora yanatoweka

>Licha ya mchakato wa Katiba Mpya kuendelea kama ratiba na sheria inavyoelekeza, kuna dalili za kutopata Katiba bora yenye matakwa ya wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika

BAADHI ya Watanzania wanaamini kwamba kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu kwa hivi sasa, ipo haja ya kuwa na maridhiano kati ya wanasiasa wetu na vilevile makubaliano kati ya watawala na watawaliwa juu ya jinsi watawaliwa wanavyotaka watawala waendeshe nchi na mambo yao,  kwa manufaa ya watawaliwa na siyo watawala peke yao.

 

9 years ago

StarTV

CHAUMA chaeleza matumaini ya kupata ushindi

 

Zikiwa zimebaki siku 29 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi cha Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA Hashim Rungwe ametoa tathimini yake juu ya mwenendo wa kampeni pamoja na matumaini yake katika kupata ushindi.

Rugwe amesema ingawa ziko changamoto zinazojitokeza lakini kwa ujumla kampeni zinakwenda vizuri na ana matumaini makubwa ya kuingia Ikulu kutokana na watanzania kuhitaji mabadiliko.

 

Akiwa Singida ambao ni mkoa wa 10 katika mwendelezo wa ziara...

 

10 years ago

Michuzi

KITABU CHA DIRA NA MATUMAINI YA HANDENI KIKO MTAANI WAHI NAKALA YAKO SASA


Kambi Mbwana, mwandishi wa kitabu hicho na blogger wa www.handenikwetu.blogspot.com+255 712053949

 

11 years ago

Mwananchi

Matumaini Katiba Mpya arijojo

>Ikulu imeeleza kuwa imeshindwa kutimiza ahadi yake kwa taifa ya kulipatia Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014.

 

11 years ago

Habarileo

Wavuvi kupewa ruzuku kupata zana bora

SERIKALI imetangaza kuanza kutoa ruzuku za pembejeo na zana za uvuvi ili kuwasaidia wavuvi nchini kupata zana bora na zinazokubalika kisheria kwa kutenga Sh bilioni 1.9 katika mwaka huu wa fedha.

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA BANCORP BENKI YENYE DIRA YA KUWA TAASISI YA KIFEDHA INAYOONGOZA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIBENKI.

 Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao mapema leo ,kwenye  maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.
 Mama Mjasiliamali wa kampuni ya Tree of Life,Bi.Jessica Msamba akifafanua jambo kwa  Afisa Masoko wa Twiga Bancorp,Bwa.Adalbert Alchard mapema leo mchana kwenye  maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.Bi Jesca ni mmoja wa wateja wakubwa wa benki hiyo na amekuwa akiendesha biashara zake za ujasiliamali...

 

10 years ago

GPL

OYA UJINGA NI KUAMINI BORA KUPATA NGOMA KULIKO PREGI!

Oya masela inakuwaje kitaa hiyo? Ni mpango mzima? Chuma nipo kamili gado kwa fasi ya kona mbaya nakula mingo kama kawiz kama dawa. Mazee dizaini kama deizi zinakrosi fasta kinomanoma, huwezi kuamini juzikati tu tumeachana hapa kwa ajili ya misele mingine na tayari tunamingo tena aisee chaliiangu. Naona imekuwa fasta kinoma bati hapa si ndo skani kwetu wazazi? Basi stei humu upate kitu roho inataka mwanangu. Kuna listori moko la...

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: CCM hawakutaka Katiba Mpya na haitatokea

>Nawasikitikia Watanzania wenzangu waliokaa mkao wa kula wakisubiri Katiba mpya.Nasikia wengine wanafunga na kuomba ili Katiba ipatikane, wengine wamejawa tu na matumaini.

 

11 years ago

Dewji Blog

Makampuni ya utafiti yashauriwa kuongeza bidii kupata mbegu bora za kilimo

Na Nathaniel Limu, Singida

MAKAMPUNI yanayojishughulisha na tafiti mbali mbali za nafaka yameshauriwa kuongeza juhudi zaidi ili kupata mbegu bora zitakazowasaidia wakulima kupata chakula cha kutosha na kujikomboa kiuchumi.

Wito huo umetolewa hivi karibuni na Diwani wa Kata ya Mwasauya (CCM) tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida, Seleman Ntandu wakati akizungumza kwenye kilele cha sherehe za wakulima wa kata ya Ikhanoda na Mwasauya.

Amesema ili kilimo kiweze kuwa na tija kwa wakulima hasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani