Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani Sagamiko aandaa warsha kwa wenyeviti na makatibu UWT Kinondoni

DIWANI wa Viti Maalum Msasani, Kuluthum Sagamiko ameandaa warsha kwa ajili ya wenyeviti na makatibu wa Umoja wa Wanawake (UWT) wilaya ya Kinondoni kwa ajili ya mafunzo ya kujiimarisha kichama na ujasiriamali kwa wanawake.
Warsha hiyo ilifanyika Dar es salaam jana, ambapo jumla ya viongozi hao kutoka kwenye kata 34 za wilaya hiyo walishiriki na kuweka mikakati ya pamoja.
Akifungua warsha hiyo, Naibu Katibu Mkuu Bara, Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Eva Mwingizi, aliwataka kuwa mstari wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UWT Singida vijijini wafanya uchaguzi wa diwani wa viti maalum

DSC00559

Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wilaya ya Singida vijijini, waliohudhuria mkutano mkuu wa uchaguzi wa viti maalum madiwani. Mkutano huo umefanyika jana (22/7/2015) kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC00576
DSC00563

Mjumbe wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Singida vijijini,a kipiga kura kuchagua diwani wa viti maalum jana (22/7/2015) kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa.

DSC00571

Mjumbe...

 

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti mitaa Kinondoni wabanwa

WENYEVITI wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wametakiwa kuwasimamia watendaji wao kutekeleza miradi ya kijamii ili kuharakisha hali bora za maisha kwa wananchi wao.

 

5 years ago

CCM Blog

KATIBU MKUU WA CCM DK. BASHIRU AWAONYA MAKATIBU WA WILAYA, MIKOA WANAOZEMBEA KUANDAA VITAMBULISHO VYA WENYEVITI WA MASHINA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally akipata chakula cha mchana nyumbani kwa Mwenyekiti wa Shina moja la CCM akuwa katika ziara ya kikazi mkoani Morogoro. 


Februari 15, 2020
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa onyo kwa Makatibu wa CCM wa Mikoa na Wilaya ambao hawajatekeleza agizo la kuandaa vitambulisho kwa ajili ya Wenyeviti wa mashina (Mabalozi) katika maeneo yao.

Dkt. Bashiru ametoa onyo hilo kutokana na kuwepo kwa taarifa ya baadhi ya Watendaji...

 

10 years ago

Michuzi

Meya Manispaa ya Kinondoni aagiza Wenyeviti kusimamia Watendaji kutekeleza Miradi

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikata utepe kuzindua Daraja la Mabwepande, Dar es Salaam hivi karibuni.Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Nati akizungumza wakati wa kikao cha wenyeviti wa Serikali za Mitaa,uliofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na wenyeviti wa Serikali za Mitaa.Wenyeviti wa Serikali za mitaa, manispaa ya Kinondoni wakimsikiliza Meya Yusuph Mwenda.

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE AONGOZA SEMINA ELEKEZI YA SIKU MOJA KWA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU LEO

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 2, 2015 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam. Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


  


PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani