DK MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI ZAKE KATOMA,GEITA
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (kushoto) akiwa na baadhi ya ndugu jamaaa na marafiki wakisali alipozuru kaburi la babu yake Simon Marko Magufuli na bibi yake Anastazia wazaa baba yake aliposimama kwa muda katika Kijiji cha Katoma, Geita Vijijini, , akielekea kufanya mkutano wa kampeni katika Kata ya Nkoma,. NPICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wananchi wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa kakake Dk Magufuli katika Kijiji cha Katoma
Dk Magufuli...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WDxs11a-Qo8/ViVF-ox75bI/AAAAAAADBKk/B-IyJi36G8Y/s72-c/_MG_7531.jpg)
DKT MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI ZAKE KATOMA,GEITA
![](http://1.bp.blogspot.com/-WDxs11a-Qo8/ViVF-ox75bI/AAAAAAADBKk/B-IyJi36G8Y/s640/_MG_7531.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-MlwP9Qnf-QM/ViVGAY3vC9I/AAAAAAADBKs/_2Jtc6MeOus/s640/_MG_7542.jpg)
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Dk. Magufuli azuru makaburi ya Babu na Bibi yake, Katoma — Geita Vijijini
![](http://3.bp.blogspot.com/-gNtj1_cZX_4/ViWp-auiuhI/AAAAAAABnhM/YWKJrs51VkI/s640/IMG_7466.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AW7Ft9Wt_Oo/ViWqDC4WhcI/AAAAAAABnhk/QKVEWm32wFU/s640/IMG_7472.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ld9Mpt89rNs/ViWqNIcTusI/AAAAAAABniY/4kNTLENLbZE/s640/IMG_7503.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-eVhScSIEhDQ/VgGH0ytqPYI/AAAAAAAC_cc/fU5BJdqILNc/s72-c/_MG_9123.jpg)
MAGUFULI AMALIZANA NA KAMPENI ZAKE KAGERA,KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA
![](http://1.bp.blogspot.com/-eVhScSIEhDQ/VgGH0ytqPYI/AAAAAAAC_cc/fU5BJdqILNc/s640/_MG_9123.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fVQHpII2AqU/VgGHv2n610I/AAAAAAAC_bk/enpYt2ateBY/s640/_MG_9005.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eVhScSIEhDQ/VgGH0ytqPYI/AAAAAAAC_cc/fU5BJdqILNc/s72-c/_MG_9123.jpg)
Dkt. MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE KAGERA, KESHO KUUNGURUMA MKOANI GEITA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/09/1186.jpg)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mpya jukwaani kwa kupiga Push Up kama kumi hivi ili kuwadhihirishia wananchi wa Mjini Karagwe mkoani Kagera kuwa yuko fiti kiafya ili kuwatumikia watanzania mara watakapompa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani .
Huku umati wa Wakazi wa Karagwe...
9 years ago
VijimamboMAZISHI YA DADA, MAMA, BIBI BETTISHEBA KETANG'ENYI MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Babu arushiana makonde na kibaka aliyetaka kumuibia pesa zake
9 years ago
MichuziMAELFU WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA BABU DUNI, MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Magufuli azuru Wizara ya Fedha
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/magufuli-1-001.jpg?width=650)
MAGUFULI AZURU KABURI LA SOKOINE