Dk. Mukangala aipongeza NSSF kuviunganisha Vyombo vya Habari
Nahodha wa timu ya mpira wa pete ya Business Times Limited akikabidhiwa kikombe mara baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa.
![Nahodha wa timu ya mpira wa pete ya Business Times Limited akikabidhiwa kitita cha shilingi milioni 4 baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_2544.jpg)
Nahodha wa timu ya mpira wa pete ya Business Times Limited akikabidhiwa kitita cha shilingi milioni 4 baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa.
![Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (mwenye traksuti nyeusi) akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Business Times Limited baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa mpira wa miguu. Wengine ni viongozi wajuu wa NSSF wakishuhudia.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_2465.jpg)
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (mwenye traksuti nyeusi) akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Business Times Limited baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa mpira...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/IMG_2465.jpg)
DK MUKANGALA AIPONGEZA NSSF KUVIUNGANISHA VYOMBO VYA HABARI
11 years ago
Michuzi13 Apr
NSSF yapongezwa kwa kuviunganisha Vyombo vya Habari nchini katika michezo
Dk. Mukangala ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hotuba yake iliyosomwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia kwa niaba ya waziri, alipokuwa akifunga rasmi Mashindani ya 11 ya NSSF yanayoshirikisha vyombo vya habari anuai...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s1600/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-b8Zmny2vKeo/VBmV6oR7rQI/AAAAAAAGkG4/zvICOYWz1fA/s1600/04.jpg)
11 years ago
MichuziWamiliki wa Vyombo vya habari watakiwa kuheshimu taaluma ya habari