Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Ramphele: Mwanamke anayetaka urais Afrika Kusini

>Aliwahi kuzipamba kurasa za Jarida la Forbes mwaka 2011 akiwa ni miongoni mwa wanawake tisa wa kiafrika wanaoongoza kwa utajiri.  Siyo hivyo tu, bali ana cheo kikubwa akiwa ni Mkurugenzi Mtendaji, wa Benki ya Dunia(WB).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Bongekile Msibi mwanamke wa Afrika Kusini alifungwa kizazi kwa lazima

Bongekile Msibi ni mmoja wa wanawake 48 waliolazimishwa kufungwa kizazi katika hosptali za taifa nchini Afrika Kusini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Ghadhabu Afrika kusini baada ya mwili wa mwanamke kupatikana ukining'inia kwenye mti

Tshegofatso Pule alitoweka kwa siku nne kabla ya mwili wake kupatikana.

 

9 years ago

Bongo5

Beyoncé akanusha kuhusika kwenye filamu inayomhusu mwanamke maarufu wa Afrika Kusini enzi za ukoloni

beyonce-flag

Beyoncé amekanusha kuhusika kwa namna yoyote ile kwenye filamu ya maisha ya Saartjie ‘Sarah’ Baartman.

beyonce-flag

Mapema wiki hii, ilidaiwa kimakosa kuwa Beyoncé ataandika na kucheza kwenye filamu ya mwanamke huyo wa Afrika Kusini aliyekuwa akioneshwa hadharani na wakoloni wa Uingereza kutokana na kuwa na umbo lenye utata hasa, hasa makalio makubwa miaka ya 1800s.

“Beyoncé is in no way tied to this project,” mwakilishi wake aliiambia Billboard. “This is an important story that should be told,...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Mtoto wa tarishi anayetaka urais

Kwa akili za kawaida, huwezi kutabiri kwamba mtu fulani ambaye labda ameanza siasa zamani au hata ni mwanasiasa chipukizi, siku moja atafikia hatua ya kuutaka urais katika nchi yake. Historia zinaonyesha kuwa marais wengi wameibuka tu hivyo hivyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kasambala baharia anayetaka urais kupitia chama cha NRA

Moja ya vyama vya siasa vilivyopitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumsimamisha mgombea urais, ni chama cha National Reconstruction Alliance (NRA).

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini...

 

10 years ago

Michuzi

AFRIKA KUSINI WATWAA UBINGWA WA SAFARI POOL AFRIKA 2014

Rais wa Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Meneja wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya mchezo wa Pool, kitita cha Dolla 5000 sawa na pesa taslimu za kitanzania 8,500,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.Rais wa Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Kocha wa timu...

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani