DK. REHEMA NCHIMBI AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA,DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua mkutano wa mwaka uliowakutanisha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma. Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (hayupo pichani).… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziDk. Rehema Nchimbi afungua mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa,Dodoma
10 years ago
Dewji Blog18 May
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi afungua kikao kazi cha biashara ya kilimo
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi akifungua kikao kazi cha biashara ya kilimo kwa kongani ya Ihemi iliyoandaliwa na SAGCOT (Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania) kwa ushirikiano na UONGOZI Institute (Taasisi ya Uongozi Afrika kwa Maendeleo Endelevu) mapema leo Iringa mjini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Kilimo wa TCCIA Bi. Magadalena Mkocha, Mwenyikiti wa Bodi ya Agricultural Council of Tanzania Dk. Sinare Y. Sinare, DC wa Iringa Mh. Angeline Mabula,...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI SOKO LA WAMACHINGA LA REHEMA NCHIMBI COMPLEX MJINI DODOMA AGOSTI 12, 2015
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--k4f-Y88o18/XnEclk2_zFI/AAAAAAALkL8/J4eu4uC8c04nGHAXR7m3tJh-ufP-mZmUgCLcBGAsYHQ/s72-c/PIC-11AAA.jpg)
MATUKIO KATIKA PICHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA
![](https://1.bp.blogspot.com/--k4f-Y88o18/XnEclk2_zFI/AAAAAAALkL8/J4eu4uC8c04nGHAXR7m3tJh-ufP-mZmUgCLcBGAsYHQ/s640/PIC-11AAA.jpg)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni George Mkuchika akiwasilisha mbele ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Mafungu ya ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021, kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Mary Mwanjelwa. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PIC-22AA.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yzNbgAbi-TI/U7bs_mLQzrI/AAAAAAAFvCM/WcsDSEtF2cQ/s72-c/unnamed+(36).jpg)
MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA ZAHANATI YA MKONZE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yH5rTfyjFA8/Va-A_XtUkII/AAAAAAAHrA0/Vdfh-sdz7hg/s640/2.jpg)
11 years ago
MichuziBALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAKURUGENZI WA RASILIMALIWATU SERIKALINI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zIw95QuMuGk/VE5hKBoj_9I/AAAAAAAGtqw/RZXY3Pf-glI/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
BALOZI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA ,MJINI DODOMA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-zIw95QuMuGk/VE5hKBoj_9I/AAAAAAAGtqw/RZXY3Pf-glI/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ePfuZMOtRgU/VE5hMObGuPI/AAAAAAAGtq4/pCPj-zXEvQI/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ubw6j0Cgo_E/VE5hMSnljVI/AAAAAAAGtq8/uRoo1-WuTR0/s1600/unnamed%2B(45).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GRhTpjSq4IU/VE5hMg87HKI/AAAAAAAGtrA/9kWrn9FphdA/s1600/unnamed%2B(46).jpg)