DK. SHEIN ATEMBELEA UJENZI WA BARABARA MATEMWE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ry5dkwTCPec/VRLMAirhwEI/AAAAAAAHNJI/3c6f0mM2KCQ/s72-c/IMG_8610.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson leo alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa (Amber Golf&Beach Resort).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziDkt. Shein afungua Madrasa Qamaria Matemwe,Mkoa wa Kaskazini Unguja
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--6xXZjSsTxA/VZuM4hDs1rI/AAAAAAAHncY/CpBnpoOhpmM/s72-c/unnamed%2B%252870%2529.jpg)
DK.SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
![](http://3.bp.blogspot.com/--6xXZjSsTxA/VZuM4hDs1rI/AAAAAAAHncY/CpBnpoOhpmM/s640/unnamed%2B%252870%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NGQp5p4s_QQ/VZuM8uahulI/AAAAAAAHncg/vG9a146EVFU/s320/unnamed%2B%252865%2529.jpg)
9 years ago
VijimamboDK SHEIN MGENI RASMIN BARAZA LA EID EL HAJJ UKUMBI WA CHUO CHA AMALI MKOKOTONO MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UUleywIy3uU/VMDy7LZGdtI/AAAAAAACyO4/oLWbuPuwM1E/s72-c/4.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-UUleywIy3uU/VMDy7LZGdtI/AAAAAAACyO4/oLWbuPuwM1E/s1600/4.jpg)
Ktibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Wanachama wa kikundi cha Ushirika wa Tuko Imara mara baada ya kushiriki kupanda Migomba,katika Kijiji cha Banda Maji,Wilaya ya Kaskazini A mkoa wa Kaskazini Unguja mapema leo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-VWwUsOB8svs/VMDy73C5C5I/AAAAAAACyPA/8mAB5txHeuk/s1600/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Qmn2mScrTm4/VMDy8j3PoDI/AAAAAAACyPI/f-YmrdmKGmE/s1600/6.jpg)
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAZEE WAASISI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VybbdaYedb8/U8jYNmpv-bI/AAAAAAAF3TM/zpA8vS5meHo/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini “ A” Mkoa wa Kaskazini Unguja
5 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN ATEMBELEA JENGO LINALOTARAJIWA KUWA LA UCHUNGUZI WA VIRUSI UNGUJA LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja leo.25/3/2020 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salum Ali.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
10 years ago
MichuziMAALIM SEIF AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TU3miTuURqA/VZBVTyF9bEI/AAAAAAAHlRs/1MVgen2owao/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
ZSTC LAENDELEZA MIKUTANO YAKE KWA WAKULIMA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA