Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN ATEMBELEA JENGO LINALOTARAJIWA KUWA LA UCHUNGUZI WA VIRUSI UNGUJA LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja leo.25/3/2020 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salum Ali.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA JAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR MKUSA SEPETU ALIYEZIKWA KIJIJI KWAO MBUZINI UNGUJA LEO.



 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitia mchanga katika kaburi lililokuwa na  mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Sepetu , wakati wa maziko hayo yaliofanyika Kijiji kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 16-2-2020( RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Dkt Shein Atembelea Bandari ya Malindi Unguja.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Abdalla Juma (katikati) alipofanya ziara ya kutembelea katika Ofisi ya Shirika hilo leo Wilaya ya Mjini Unguja,(kushoto) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Seif Rashid,(kulia) Naibu Waziri Issa Haji Gavu, na (wapili kulia) Katibu Mkuu Wizara hiyo Juma Akili  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein...

 

9 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AMNADI DKT MAGUFULI KISIWANI UNGUJA LEO,ASEMA ANATOSHA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Mohamed Shein akimnadi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli mbele ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja,kisiwani Unguja jioni ya leo.

Dkt Shein emebainisha wazi kwenye mkutano huo wa kampeni kuwa Dkt Magufuli ni mtu sahihi na anatosha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,amesema kuwa iwapo...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN ATEMBELEA UJENZI WA BARABARA MATEMWE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson leo alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa (Amber Golf&Beach Resort).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)...

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Amuapisha Mkuu Mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A Unguja katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla baada ya kumuaapisha kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A  katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

DK.Shein Arejesha Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar leo mjini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akirejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum wakati wa kurejesha Fomu za...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZINDUA TAMASHA LA VIJANA BWAWANI UNGUJA,ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akisalimiana na Viongozi wakiwemo wawekezaji Kampuni na wadau wa maendeleo wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani