DK.Shein Arejesha Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar leo mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akirejesha Fomu za kuomba ridhaa ya Chama kumchagua kuwa Mgombe Urais wa Zanzibar kupitia Chama Chake kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu maalum wakati wa kurejesha Fomu za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
DK.SHEIN AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR


10 years ago
Michuzi
PINDA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA LEO


5 years ago
CCM Blog
PROF. MAKAME MBARAWA AREJESHA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

10 years ago
VijimamboMgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.
5 years ago
Michuzi
Kada wa CCM Mohammed Hija Arejesha Fomu Yake ya Kugombea Urais leo.


10 years ago
MichuziDK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti...
10 years ago
Vijimambo30 Jun
RAIS WA ZANZIBAR ALI MOHAMED SHEIN AREJESHA FOMU LEO JUNI 30, 2015


10 years ago
Michuzi
CCM YAZINDUA RASMI KAMPENI YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR MJINI UNGUJA


11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Dismas Lyassa arejesha fomu ya kugombea Urais TUCTA
Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. (Picha na Khamis Tembo).