Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK.SHEIN AKUTANA VIONGOZI WA WIZARA,BIASHARA NA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko na Idara zake wakimsikiliza Waziri Nassor Ahmed Mazrui(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Azungumza na Uongozi Wizara ya Miundombinu Mawasiliano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Miundimbinu na Mawasiliano katika Utekelezaji wa Mpango kazi wa robo mwaka kutoka Julai-Machi 2013/2014,ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na watendaji Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kkulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi akutana na Rais Dk. Shein zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Wawekezaji aliofuatana nao katika ziara ya siku moja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Mifigo na Uvuvi kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO NA MALIASILI YA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Kilimo na Maliasili kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza kikao cha Wizara ya Kilimo na Maliasili kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na viongozi mbali mbali ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed Shein akifuatana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Alvaro Rodriguez baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Muhamed...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa  mwezi wa Julai  hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Ujenzi  Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dr. Sira...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani