Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi akutana na Rais Dk. Shein zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Wawekezaji aliofuatana nao katika ziara ya siku moja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NJE UTURUKI AKUTANA NA RAIS DKT SHEIN LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi wa Uturuki Mhe,Ahmet Davutoglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar le akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

10 years ago

Michuzi

Balozi wa Uholanzi azungumza na Rais Dk.Shein,Ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Uholanzi nchini...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK SHEIN AKUTANA NA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR IKULU



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi .Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee  na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biahara na Viwanda Zanzibar Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Shein Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana naoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015  Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015RaisRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI MATHIAS CHIKAWE IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe. Waziri Chikawe alifika ofisini hapo kwa lengo la kujitambulisha kwa Rais huyo baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Viongozi hao pia walijadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ulinzi na usalama wa Tanzania Bara na Visiwani. Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Pereira Ame...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS, DK SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE, IKULU ZANZIBAR, LEO



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati alipofika kujitambulisha na kufanya mazungunzo, Ikulu Zanzibar, leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akiwa katika picha ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Waziri huyo alipofika kujitambulisha kwa Rais na kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Zanzibar, leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Ikulu jijini Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani