DK.SHEIN AZUNGUMZA NA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM Khamis Ali Ameir alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kuzungumza na Shirikisho hilo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi mkutano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU ZANZIBAR KUPITIA CCM


10 years ago
Michuzi
BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA


10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR
5 years ago
CCM BlogRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO
5 years ago
Michuzi
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC,DKT.TAX IKULU,ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)

5 years ago
CCM BlogRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA WASANII NA WABUNIFU ZANZIBAR
5 years ago
Michuzi
RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR. IKULU JIJINI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)...