DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.


10 years ago
Michuzi
MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.


10 years ago
Michuzi
11 years ago
Dewji Blog15 Sep
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akutana na Mbunge shirikisho la Ujerumani
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Mhe. Charles M. Huber (wa pili kushoto) ambaye ni Mbunge na Mjumbe wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo na Mambo ya Nje ya Bunge la Shirikisho la Ujerumani wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Septemba 15, 2014.(Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe....
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS KUHUSU DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL

10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WATEULE LEO
10 years ago
Vijimambo
Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal Akutana na Mabalozi wa Wateule leo.


10 years ago
Vijimambo23 Mar
HOTUBA YA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA

Mheshimiwa Prof. Jumanne A. Maghembe (Mb)Waziri wa Maji;
Mheshimiwa Prof. Peter MsollaMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji;
Mheshimiwa Kapteni Mstaafu Aseri MsangiMkuu wa Mkoa wa Mara;
Mheshimiwa Malika...