Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Aziz Ponary Mlima awasilisha Hati za Utambulisho kwa Sultan wa Brunei Darussalam.

 Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Sultani wa Brunei Mheshimiwa Haji Hassanal Bolkiah Mu'izzaddin Waddaulah Ibin Al-Marhum Sultan Haji Omar 'Ali Saifuddien Sa'adul Khairi Waddien ambaye ni Sultan na Mtawala wa Brunei Darussalam, Kwa ufupi hii ni moja ya nchi zenye watu wachache, utajiri mkubwa wa mafuta na kiwango kizuri cha maisha ya wananchi wake wenye kipato cha wastani cha USD 43,000 kwa mwaka. Pato la taifa na uchumi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima awasilisha Hati za Utambulisho nchini Laos

 Dkt. Aziz Ponary Mlima Balozi wa Tanzania nchini Malaysia akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Laos Mheshimiwa Choummaly Sayasone. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Vientiane nchini Laos.Dkt Aziz Mlima akifanya mazungumzo na Makamu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Laos ambaye aliwahi kuwa Balozi wa Laos kwenye Umoja wa Mataifa kwa muda mrefu Mheshimiwa Alounkeo Kittikhoun.Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia unawakilisha nchi nyingine 6 katika...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI HAMZA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA JORDAN .

Balozi wa Tanzania nchini Jordani mwenye makazi yake mji wa Cairo nchini Misri Mhe. Mohammed Hamza Mohammed akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Abdallah II wa Jordan.Balozi Hamza akimsikiliza Mfalme Abdallah II mara baada ya kumaliza kuwasilisha Hati za Utambulisho.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Malkia wa Denmark.

Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic na Baltiki, Mhe. Bibi Dora Mmari Msechu awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa  Mtukufu Malkia  Margrethe II wa Denmark tarehe 20 Februari 2015. Picha ya pamoja na Mkuu wa Kasri la Malkia  baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.    

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Norway

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akisalimiana na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland

 "Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic,  na Baltic Mheshimwa Dora Mmari Msechu aliwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  jijini Helsinki Alhamisi 4 Desemba, 2014" "Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic,  na Baltic Mheshimwa Dora Mmari Msechu katika picha ya pamoja na   Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho jijini Helsinki Alhamisi 4 Desemba, 2014. Kulia ni Afisa wa Ubalozi ni Yusuph Mndolwa

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Marais wa Latvia na Lithuania

 Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) awasilisha Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė kwenye ikulu ya nchi hiyo leo. Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu akiwa pamoja na Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho wake,kwenye ikulu ya nchi hiyo leo.Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu awasilisha Hati ya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI JOHN MICHAEL HAULE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA JAMUHURI YA KENYA, LEO

Mheshimiwa Uhuru Kenyatta Rais wa Jamuhuri ya Kenya akimpongeza na kumkaribisha rasmi Mheshimiwa Balozi John Michael Haule mara baada ya kupokea Hati zake rasmi za utambulisho. Mheshimiwa John Michael Haule, Balozi wa Tanzania nchini Kenya akiteta jambo na Mheshimiwa Rais Uhuru Kenyatta wa Jamuhuri ya Kenya mara baada ya kuwasilisha Hati za utambulisho. Mheshimiwa Balozi John Michael Haule akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wengine waliowasilisha Hati zao za utambulisho kwa...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SHIMBO AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MHE. XI JINPING, RAIS WA JAMHURI YA WATU WA CHINA

Balozi wa Tanzania Nchini China,Lt. Jen. Mstaafu Abdulrahaman Amiri Shimbo akimkabidhi Mhe. Rais Xi Jinping hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu “The People’s Great Hall” ya Jamhuri ya Watu wa China, Beijing, tarehe 20 Machi 2014 . Balozi A.A Shimbo alikuwa wa kwanza kuwasilisha hati zake za utambulisho kati ya mabalozi 14 waliowasilisha hati zao siku hiyo. Mhe. Balozi Shimbo akiwa na Mhe. Rais Xi Jinping mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu “The...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho.  Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mfalme wa Sweden  kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho.   Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akipeana mikono na Mfalme wa Sweden baada ya kuwasilisha hati za utambulishoBaada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani