DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIDIPLOMASIA LA UTEKELEZAJI WA ITIFAKI YA RASIMU YA ARIPO INAYOLENGA KULINDA AINA MBALIMBALI MPYA ZA MIMEA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015.
'WAGOMBEA WANAPOKUTANA', Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIDIPLOMASIA LA UTEKELEZAJI WA ITIFAKI YA RASIMU YA ARIPO INAYOLENGA KULINDA AINA MBALIMBALI MPY ZA MIMEA.


10 years ago
Dewji Blog07 Jul
Dkt. Bilal afungua kongamano la kidiplomasia la utekelezaji wa itifaki ya rasimu ya ARIPO jijini Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015. (Picha na OMR).
WAGOMBEA WANAPOKUTANA’, Makamu wa Rais wa...
10 years ago
Dewji Blog05 Sep
Makamu wa Rais Dkt. afungua kongamano la Afrika kuhusu makubaliano ya rasimu mpya ya dunia, jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi. Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam. (Picha na OMR).
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
11 years ago
Michuzi12 Feb
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TAFAKURI MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA, JIJINI DAR LEO.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA DAR



10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa kulinda na kuendeleza vituo vya biashara Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Okt 5, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiperuzi Document na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, John Mngodo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTTANO WA KULINDA NA KUENDELEZA VITUO VYA BIASHARA TANZANIA


10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO



10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAJI HISA JIJINI DAR

