Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIDIPLOMASIA LA UTEKELEZAJI WA ITIFAKI YA RASIMU YA ARIPO INAYOLENGA KULINDA AINA MBALIMBALI MPY ZA MIMEA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015. Picha na OMR 'WAGOMBEA WANAPOKUTANA',  Makamu wa Rais wa Jamhuri...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIDIPLOMASIA LA UTEKELEZAJI WA ITIFAKI YA RASIMU YA ARIPO INAYOLENGA KULINDA AINA MBALIMBALI MPYA ZA MIMEA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015.'WAGOMBEA WANAPOKUTANA', Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua kongamano la kidiplomasia la utekelezaji wa itifaki ya rasimu ya ARIPO jijini Arusha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015. (Picha na OMR).

1B

WAGOMBEA WANAPOKUTANA’,  Makamu wa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi waratibu wa Kongamano hilo wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach leo Novemba 26, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi kongamano hilo.  Mwakilishi wa WHO, akizungumza kabla ya mgeni rasmi.. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa nafasi ya mabingwa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. afungua kongamano la Afrika kuhusu makubaliano ya rasimu mpya ya dunia, jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi. Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam. (Picha na OMR).

3

4

Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia. 

5

5B

6

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa kulinda na kuendeleza vituo vya biashara Tanzania

1C

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Okt 5, 2015. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiperuzi Document na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, John Mngodo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTTANO WA KULINDA NA KUENDELEZA VITUO VYA BIASHARA TANZANIA

:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5, 2015Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiperuzi Document na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, John Mngodo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba katika kuboresha huduma za tiba. Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, limewakutanisha mabingwa wa tiba za afya kutoka nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Afrika.
baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAJI HISA JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la mwaka la wakaguzi wa hesabu za ndani jijini Arusha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha jana Septemba 24, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani