DKT KALEMA NA MHE.ZUNGU WAKAGUA MABWAWA YA KIDATU NA MTERA
![](https://1.bp.blogspot.com/-L5Yv8tHGGig/XrVsHoP2ahI/AAAAAAALpgM/BFVdu6s0gQMgwdkwqmX7gPfzpmhEcUYCQCLcBGAsYHQ/s72-c/moja.jpg)
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani (wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi wa Makamu Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Hassan Zungu,(wa tatu kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Zena Said(wa kwanza kulia) wakiwasili kwenye ukaguzi wa Bwawa la Mtera ambalo lipo Mkoani Iringa, tarehe 7 Mei mwaka huu.Waziri wa Nchi Ofisi wa Makamu Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Hassan Zungu (katikati), akizungumza na waandishi wa Habari mara baada kumaliza ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LiKoXW_Qvyo/VgpxyjY1sMI/AAAAAAAH7ug/8F9WQubczhs/s72-c/1b.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA HAFLA YA UCHANGISHAJI FEDHA KWA AJILI YA UHIFADHI WA VYANZO VYA MAJI KATIKA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME YA MTERA, KIHANSI, KIDATU, NYUMBA YA MUNGU NA PANGANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-LiKoXW_Qvyo/VgpxyjY1sMI/AAAAAAAH7ug/8F9WQubczhs/s640/1b.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-loDv1slsg_g/Vgpxy_YFZlI/AAAAAAAH7uo/9VFKPRBVUdU/s640/2.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa Mabibo Beer, Wines & Spirits na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-93PfVqXFyAI/XkaJFkfflEI/AAAAAAALdWk/M6yXwgpp69INvFm8thHe73w2KIK6k2RKQCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_9032.jpg)
DK.Shein Akutana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Zungu
![](https://1.bp.blogspot.com/-93PfVqXFyAI/XkaJFkfflEI/AAAAAAALdWk/M6yXwgpp69INvFm8thHe73w2KIK6k2RKQCLcBGAsYHQ/s640/DSC_9032.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UmPseIHRR48/default.jpg)
9 years ago
MichuziNaibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akutana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nNqlncb3TWM/Xq6Xr-4ZvjI/AAAAAAALo6w/M8OgxDZ5orMXfls-X2lTWXTejeMo_xznQCLcBGAsYHQ/s72-c/1..jpg)
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA
![](https://1.bp.blogspot.com/-nNqlncb3TWM/Xq6Xr-4ZvjI/AAAAAAALo6w/M8OgxDZ5orMXfls-X2lTWXTejeMo_xznQCLcBGAsYHQ/s640/1..jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2.-scaled.jpg)
10 years ago
Michuzi10 Mar
9 years ago
Michuzi14 Oct
RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA
JUMATANO TAREHE 14 OKTOBA, 2015NYUMBANI KWA MAREHEMU – UPANGA
Muda Tukio Mhusika Saa 1.00 – 2.00Asubuhi Chai WoteMshereheshaji Saa 6.00 – 7.00 Mchana Chakula cha Mchana Wanafamilia na Waombolezaji Saa 8.30 – 9.00 Mchana Viongozi na Waombolezaji kuwasili JNIA Termibal I
Viongozi/Waombolezaji Saa 9.00– 9.30Asubuhi Mwili ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-P1ph_OWRMNg/XrmPpHMkvcI/AAAAAAALp1M/Cy1vtixomHsrzk_x0GHIZaeLavQp-QoAgCLcBGAsYHQ/s72-c/f876f02a-2b64-48d3-9f9f-76b47723ef25.jpg)
DKT. MAHENGE AMUWAKILISHA MHE. MAJALIWA KWENYE MAZISHI YA MZEE MAKBEL
![](https://1.bp.blogspot.com/-P1ph_OWRMNg/XrmPpHMkvcI/AAAAAAALp1M/Cy1vtixomHsrzk_x0GHIZaeLavQp-QoAgCLcBGAsYHQ/s640/f876f02a-2b64-48d3-9f9f-76b47723ef25.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akiweka Mchanga kwenye kaburi la Marehemu Mzee Mohammed Makbel ambaye alikuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, alipomuwakilisha Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/b1dc3ab2-68fd-423b-a280-18a98e5ab1ab.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-QFDIU-GN3Ko/XujBjks-hHI/AAAAAAABMac/tuaagk5lDEYa8uJNgkiMowEY-QLd-Gq1QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-QFDIU-GN3Ko/XujBjks-hHI/AAAAAAABMac/tuaagk5lDEYa8uJNgkiMowEY-QLd-Gq1QCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-dsh6OVc-qFc/XujBkUubgsI/AAAAAAABMak/bRuD47UCrwoIe6eSU1uhLKKIdE4llAHoACLcBGAsYHQ/s400/4.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kulihutubia na kulifunga Bunge hilo la 11 jijini Dodoma. P
![](https://1.bp.blogspot.com/-v9HgFyPMu1g/XujBt0BBV5I/AAAAAAABMas/i-ILbFnzUKwUTvqoMoO8bwsTIfwAB2LxgCLcBGAsYHQ/s400/5.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-G-3XRhFiVzk/XujBsqkwePI/AAAAAAABMao/vRHTtPSjhDYX-gLpv7Z72a1h-cjj_jiRACLcBGAsYHQ/s400/6.jpg)