Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT KAWAMBWA ACHANGIA MISAADA KUPAMBANA NA CORONA






……………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO 
Mbunge wa jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa, amegawa ndoo za maji kwaajili ya kunawa mikono, pamoja na sabuni katika maeneo mbalimbali ya kata ya Dunda, Nianjema na Magomeni ikiwa ni muendelezo wa mapambano dhidi ya maamukizi ya ugonjwa wa Corona. 
Ziara hiyo iliyopitia vijiwe mbalimbali vya pikipiki na maeneo ya masoko, Dkt. Kawambwa aliwatahadharisha wafanyabiashara na watu wanaokuja katika maeneo hayo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MWEDO LAKABIDHI MISAADA KUPAMBANA NA CORONA ARUSHA


Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega(katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa shirika la Maasai Women Development Organization(MWEDO),Ndinini Kimesera(kulia) walipokabidhi misaada mbalimbali ya usafi kwaajili ya kuunga mkono juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa corona,kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Mwedo,Dk Eliamani Laltaika.

Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega(kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa shirika la Maasai Women Development Organization(MWEDO),Ndinini Kimesera(wa tatu...

 

5 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MABOHORA YAENDELEA KUPELEKA MISAADA HOSTELI YA MAGUFULI KUPAMBANA NA UGONJWA WA CORONA

April 12 ,2020  Jumuiya ya MABOHORA Dsm, imeendelea kupeleka vifaa muhimu Magufuli Hostel kuendelea kusaidia Juhudi ya COVID 19 RESPONSE TEAM kupambana na janga la CORONA VIRUS. Inshallah mungu atusaidie wote kuendelea kadiri ya uwezo wetu kusaidia Serekali yetu na Nchi yetu kupambana na kuishinda hiyo CORONA VIRUS. Ameen


 

10 years ago

Michuzi

DKT. KAMANI ACHANGIA UJENZI SHULE YA NYAMAJASHI

Mbunge wa Jimbo la Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (mwenye shati la kijani) akitoa mchango wa saruji mifuko 70 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa shule ya msingi Nyamajashi iliyopo mjini Lamadi katika Jimbo la Busega. Mbunge wa Jimbo la Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akiwahutubia Wananchi waliohudhuria kwenye hafla hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi viongozi wa Afrika wanavyojikata mishahara kupambana na corona

Rais wa Rwanda na serikali yake aungana na wazo la rais wa Kenya na Malawi kutaka mishahara yao kukatwa ikiwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je msaada wa Jack Ma Afrika una umuhimu gani katika kupambana na janga la corona?

Huku mlipuko wa virusi vya corona ukiendelea kuathiri sekta zote duniani mataifa mengi yameshindwa kupata jibu la kukabiliana na janga hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kawambwa azindua jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati)akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Shukuru Kawambwa kuwa mgeni rasmi kwenye Harambee ya shule ya Sekondari ya Enaboishu mkoani Arusha

Waziri-wa-Elimu-na-Mafunzo-ya-Ufundi-Dkt.-Shukuru-Kawambwa.

Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia kuchangia ujenzi wa nyumba za walimu vyumba vya madarasa na ununuzi wa samani katika shule ya Sekondari ya Enaboishu iliyopo mkoani Arusha.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shule hiyo, Bw. Emmanuel Munga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi jijini Dar Es Salaam.

Munga amesema kuwa Harambee hiyo inatarajiwa kufanyika...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA BILIONI 1.1 KUKABILIANA NA CORONA COVID-19

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipima joto la mwili wakati alipowasili ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam kupokea michango kutoka kwa wadau mbalimbali kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa CORONA, Machi 28, 2020.
Baadhi wa wadau waliotoa michango ni pamoja na familia ya Karimjee Jivanji ya jijini Dar es Salam iliyotoa jenereta lenye thamani ya shilingi milioni 75, Benki ya UBA waliotoa hundi ya shilingi milioni 230.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani