Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt Manongi atembelea miradi ya ujirani mwema inayofadhiliwa na NCAA .

Kamishna wa Uhifahi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro  (NCAA) Dkt. Freddy Manongi  na baadhi ya wajumbe wa Menejimeti ya Mamlaka hiyo wamefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya Ujirani mwema inayojengwa kwa Ufadhili wa Mamlaka hiyo.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na ujenzi wa kituo cha Afya cha Arash kilichopo Loliondo ambapo NCAA imetoa mchango wa Shilingi Milioni 100 kusaidia ujenzi huo.

Dkt Manongi aliyeongozana na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Rashid Taka pia walitembelea ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UJIRANI MWEMA

Baadhi ya Viongozi na wanachama wa ujirani mwema kati ya Kata ta Mtoni Wilaya ya Temeka mkoa wa Dar es salaam na Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Zanzibar.Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mtoni ambae pia ni Katibu Mwenezi wa Kata hiyo Wilaya ya bTemeke Mkoa wa Dar es salaam Ndugu Hija Makamba akielezea mafanikio yanayopatikana kutoka na ujirani mwema kati ya pande hizo mbili.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika mkutano wa ujirani...

 

9 years ago

Habarileo

TPDC, Tanesco washauriwa ujirani mwema

NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amewataka wataalamu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kupitia kampuni tanzu ya Usambazaji Gesi (Gasco) pamoja na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuhakikisha kuwa wanashirikisha wananchi katika utekelezaji wa miradi ya nishati.

 

11 years ago

Michuzi

Kanisa la ujirani mwema Bunge Dodoma labarikiwa

Askofu wa jimbo Katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga (aliyevaa kofia) akibariki kanisa la ujirani mwema la Jumuiya ya Wakatoliki ya MtakatifuThomas More,Bunge mjni Dodoma. 
Ibada hiyo iliyohudhuriwa na Spika Mstaafu,Mhe.Pius Msekwa na Mke wake Mhe Anna Abdallah pia ilihudhuriwa na mke wa Waziri mkuu mama Tunu Pinda pamoja na baadhi ya mawaziri na watumishi wa Ofisi ya Bunge.
Ibada hiyo ilifannyika katika ukumbi mdogo uliopo Gorofani katika ukumbi wa Msekwa uliokuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Washauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema

WADAU na vijana mkoani Kilimanjaro, wameishauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema ya mwaka 1993-1994, ambayo inazungumzia majukumu ya hifadhi za utalii katika kuchangia maendeleo kwenye maeneo yanayozunguka hifadhi hizo.

 

10 years ago

Vijimambo

MRADI WA UJIRANI MWEMA ULIOTOLEWA NA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA)

KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU ILIYOPO WILAYA YA MOSHI Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA).Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa...

 

10 years ago

GPL

KINAMAMA ‘UJIRANI MWEMA MBEZI’ WAWASAIDIA YATIMA WA CHANIKA

Kinamama wakikabidhi zawadi kwa mlezi wa kituo. Mwenyekiti wa kikundi, Rose Kanijo, akiongea na watoto hao.…

 

11 years ago

Michuzi

MIJADALA YA UTALII,UHIFADHI,UJANGILI NA UJIRANI MWEMA WATAWALA KONGAMANO LA TANAPA NA WAHARIRI

Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki kongmano jijini Mwanza. Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa Shirika la Hiadhi za Taifa(TANAPA) Ibrahim Mussa akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habaro toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki Kongamano jijini Mwanza. Mwenyekiti wa Majadiliano katika kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya...

 

11 years ago

Michuzi

Wana Familia wa Kikundi cha ujirani mwema Ndachi, Dodoma walivyoisherehekea sikukuu ya Pasaka

Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions Deusdedit Vallery Moshi (kushoto) na mkewe Silvia akifurahia jambo na familia yake,kutoka kulia Aika Deusdedit,Amani-Khan Deusdedit na Amini-Mchamungu Deusdedit wakati wakisheherekea Sikukuu ya Pasaka na kikundi cha Ujirani Mwema Ndachi Dodoma Wana Familia wa Kikundi cha ujirani mwema Ndachi, Dodoma wakisheherekea Sikukuu ya pasaka Pamoja kuadhimisha zaidi ya miaka elfu mbili ya ufufuko wa Yesu Kristo.Kikundi hiki kinashirikiana katika shuhuli za...

 

10 years ago

Vijimambo

Mafanikio ya Miradi ya barabara inayofadhiliwa na MCC Ruvuma

Mafanikio ya Miradi ya barabara inayofadhiliwa na Watu wa Marekani kupitia Millennium Challenge Corporation (MCC) mkoani Ruvuma

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani