Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. MWAKYEMBE AKUTANA NA WADAU WA BANDARI DAR

Massawe akimkaribisha Dkt. MwakyembeWaziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza na wadau wa sekta ya bandari kwenye mkutano uliofanyika leo Jumanne Desemba 30, 2014 kwenye ofisi ya meneja wa bandari ya Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kutathmini huduma za bandari na utekelezaji wa matokeo makubwa sasa kwa mwaka 2014. Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwakyembe aliipongeza Mamlaka ya bandari kwa kazi nzuri ya utoaji huduma uliopelekea ongezeko la mizigo ingawa hata hivyo aliwajia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wadau bandari wakutana jijini dar

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari nchini (TPA), Bw. Awadh Massawe (mwenye koti la bluu kushoto) akiongoza kikao cha wadau wa mamalaka hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Pamoja na kujenga mahusiano ya karibu na wadau wa bandari, vikao hivyo vinalenga kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili bandari hiyo na kuifanya kuwa shindani katika eneo hili la Afrika.

 

10 years ago

Vijimambo

JEFF AKUTANA NA WADAU MBALIMBALI DAR WALIOMFARIJI

 Jeff akiwa na wadau waliowahiishi Maryland nchiniMarekani George Mwaswaliba (kushoto) na Mosi (kulia) walipokutana nae wakati wa kipindi cha msiba wa mpendwa mama yake Dar es Salaam.. Jeff akiwa na Ronnie Maganga jiji Dar es Salaam Jeff akiwa na mama MagangaJeff akiwa nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga siku walipomwandalia chakula cha jioni kwa ajili ya kumfariji kwa msiba wa mpendwa mama yake.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015  Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015RaisRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA, DKT. MWAKYEMBE WATEMBELEA MAGEREZA MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM, WAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Kamshina Jenerali wa Jeshi la Magereza,. John Minja wakati alipokuwa anawasili Gereza la Mahabusu Keko kwa ziara ya kikazi. Mwenye mawani ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga  akikagua gadi maalumu iliyoandaliwa na Maafisa na Askari wa Gereza Keko alipofanya ziara ya kikazi ya kutembelea Magereza...

 

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya Mwakyembe yaamsha wadau

Shirika la Ndege la Flight Link la Dar es Salaam limesema litaanza kutoa huduma ya usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na Iringa muda wowote kuanzia sasa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Waziri Tibaijuka akifunga majadiliano juu ya mradi huo. Waziri Tibaijuka akiwa ameshikana mikono na mbunge was Kigamboni Faustine Ndungulie na baadhi ya madiwani na viongozi wengine kuonyesha maridhiano namna mradi utakavyotekelezwa.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Usanifu Miji na Uendelezaji Hellenic Mpetuta akitoa mada namna mji mpya utakavyopangiliwa katika mkutano huo uliofanyika Chuo Kikuu cha Kivukoni Dar es Salaam leo.Baadhi ya wadau wakifuatilia mawasilisho ya mada mbalimbali juu ya...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Juma Assad Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Juma Assad Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mufti Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA NA MSUMBIJI IKULU DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Chirau Ali Mwakwere, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Dkt. Vicente Veloso, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 31, 2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani