Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau bandari wakutana jijini dar

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari nchini (TPA), Bw. Awadh Massawe (mwenye koti la bluu kushoto) akiongoza kikao cha wadau wa mamalaka hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Pamoja na kujenga mahusiano ya karibu na wadau wa bandari, vikao hivyo vinalenga kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili bandari hiyo na kuifanya kuwa shindani katika eneo hili la Afrika.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASAF NA WADAU WA MAENDELEO WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM.


 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF na wadau wa Maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi wameanza Mkutano wa kupitia mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini,PSSN unaoratibiwa na Mfuko huo nchini. 

Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango huo unaowahusisha wataalamu mbalimbali kutoka Taasisi za Fedha na mashirika ya misaada ya kimataifa utawawezesha pia wataalamu hao kutembelea maeneo kadhaa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini  katika mikoa y Dodoma, Lindi...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI WAKUTANA NA KAMPUNI YA BESIX YA UBELGIJI,PIA WATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME UTAKAOPELEKWA BIHARAMULO

Wadau wa bandari na reli wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya BESIX ya Ubelgiji baada ya kumaliza kikao cha pamoja na kampuni hiyo. Kampuni ya BESIX ilianzishwa mwaka 1909 na imeajiri watu 19,0000. Mwaka jana kampuni hiyo ilipata faida Euro 2.13 bilioni. Pamoja na mambo mengine, kampuni hiyo imehaidi kusaidia shughuli za jamii Tanzania kupitia taasisi yake inayosaidia shughuli mbalimbali za jamii (BESIX FOUNDATION). Wadau wa reli na bandari wakishuhudia...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. MWAKYEMBE AKUTANA NA WADAU WA BANDARI DAR

Massawe akimkaribisha Dkt. MwakyembeWaziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza na wadau wa sekta ya bandari kwenye mkutano uliofanyika leo Jumanne Desemba 30, 2014 kwenye ofisi ya meneja wa bandari ya Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kutathmini huduma za bandari na utekelezaji wa matokeo makubwa sasa kwa mwaka 2014. Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwakyembe aliipongeza Mamlaka ya bandari kwa kazi nzuri ya utoaji huduma uliopelekea ongezeko la mizigo ingawa hata hivyo aliwajia...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando akizungumza  na waandishi wa habari juu ya matumizi ya dawa  katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yawe na uwiano sawa,na kuwa na kiwango kinachokubalika Kimataifa. Amesema  mamlaka husika inapaswa kusimamia na wataalam wa dawa ili kuendana na soko  la Jumuiya ya  Afrika Mashariki, leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandisi wa habari kuhusu jinsi...

 

9 years ago

Michuzi

Wadau wakutana Dar kujadili Mkataba Mpya wa Mabadiliko ya Tabianchi ‘Paris Agreement’

Ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Nchi Wanachama COP21 uliokuwa ukifanyika Paris, Ufaransa, ambao ulimalizika kwa kupitisha mkataba mpya wa mabadiliko ya tabianchi (Paris Agreement), wadau mbalimbali wamekutana kujadili matokeo ya mkutano huo.
Mkutano huo wa wadau umeandaliwa na ForumCC kwa kushirikiana na Rosa Luxemburg Stiftung (RLS) kwa lengo la kuangalia mazidi na mapungufu ya mkataba huo ambao umeweka historia mpya ya kuelekea juhudi za...

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.

Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo, maafisa wa serikali na TASAF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukmbi wa miktrano wa Mwalim Nyerere jijini DSM. Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM leo. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watalaam wa Takwimu Barani Afrika wakutana jijini Dar

PICHA NO. 1

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akizungumza  na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa siku tano ambao umekutanisha watalaam wa takwimu kutoka nchi mbalimbali barani Afrika kujadili Mfumo wa Uongozi Bora katika Ofisi za Takwimu pamoja na Uboreshaji wa Mitaala ya Ufundishaji wa Masomo ya Takwimu. Mkutano huo unafanyika katika hoteli ya Golden Tulip iliyopo Jijini Dar es Salaam. PICHA NO. 2 Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afrika Kusini Risenga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani