WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando akizungumza na waandishi wa habari juu ya matumizi ya dawa katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yawe na uwiano sawa,na kuwa na kiwango kinachokubalika Kimataifa. Amesema mamlaka husika inapaswa kusimamia na wataalam wa dawa ili kuendana na soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandisi wa habari kuhusu jinsi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTASAF NA WADAU WA MAENDELEO WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF na wadau wa Maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi wameanza Mkutano wa kupitia mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini,PSSN unaoratibiwa na Mfuko huo nchini.
Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango huo unaowahusisha wataalamu mbalimbali kutoka Taasisi za Fedha na mashirika ya misaada ya kimataifa utawawezesha pia wataalamu hao kutembelea maeneo kadhaa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini katika mikoa y Dodoma, Lindi...
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI JIJI LA DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO MCHANA YATIWA MBARONI
Watuhumiwa hao wanne wa ujambazi wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi. Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti...
9 years ago
MichuziWADAU JESSE NA FAITH WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
MichuziWADAU ARCHBOLD NA AGNESS WAMEREMETA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziWHO YATOA MSAADA WA DAWA ZA KUTAKASA MAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA CORONA
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo leo kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinawa mikono katika kituo cha daladala Mbagala rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana...
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM LEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda akizungumza katika mkutano huo.
Mwakilishi wa...