Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAF NA WADAU WA MAENDELEO WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM.


 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF na wadau wa Maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi wameanza Mkutano wa kupitia mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini,PSSN unaoratibiwa na Mfuko huo nchini. 

Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango huo unaowahusisha wataalamu mbalimbali kutoka Taasisi za Fedha na mashirika ya misaada ya kimataifa utawawezesha pia wataalamu hao kutembelea maeneo kadhaa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini  katika mikoa y Dodoma, Lindi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.

Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo, maafisa wa serikali na TASAF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukmbi wa miktrano wa Mwalim Nyerere jijini DSM. Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM leo. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando akizungumza  na waandishi wa habari juu ya matumizi ya dawa  katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yawe na uwiano sawa,na kuwa na kiwango kinachokubalika Kimataifa. Amesema  mamlaka husika inapaswa kusimamia na wataalam wa dawa ili kuendana na soko  la Jumuiya ya  Afrika Mashariki, leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandisi wa habari kuhusu jinsi...

 

10 years ago

Michuzi

Wadau bandari wakutana jijini dar

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari nchini (TPA), Bw. Awadh Massawe (mwenye koti la bluu kushoto) akiongoza kikao cha wadau wa mamalaka hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Pamoja na kujenga mahusiano ya karibu na wadau wa bandari, vikao hivyo vinalenga kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili bandari hiyo na kuifanya kuwa shindani katika eneo hili la Afrika.

 

10 years ago

Michuzi

TASAF, Wadau wa maendeleo wafanya tathmini

Mfuko wa Maendeleo ya jamii-TASAF kwa ushirikiano na wadau wa Maendeleo wameanza mkutano wiki mbili wa tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini -PSSN  unaosimamiwa na mfuko huo.
Zifuatazo ni picha zikionyesha wadau hao wa maendeleo na watendaji wa TASAF wakiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga katika ukumbi wa mikutani wa Makao makuu ya mfuko huo jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wadau...

 

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekitiwa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho akitoa wito kwa mashirika mbalimbali kujikita katika utoaji wa elimu kuhusu maambukizi ya virusi vya UKIMWI huku wakishirikiana na Viongozi wa ngazi ya juu wa dini.Baadhi ya Viongozi wa ngazi ya juu wa dini na wawakirishi wa dini kutoka nchi 17 za Mashariki na Kusini mwa Afrika wakiwa kwenye mkutano huo utakaodumu kwa takribani siku tatu.Picha ya Pamoja Kwa washiriki walio hudhuria mkutano huo.Na Mwandishi wetuViongozi...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAFUTURISHA WADAU WAKE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akimuongoza Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum na wadau wa mfuko huo kupakua futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke kwa wadau wake, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza na wadau wa mfuko huo baada ya kupata futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke, Dar es Salaam juzi. Wengine kutoka kulia kwake) ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Mwakilishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani