Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. PINDI CHANA AZINDUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA LEO

 Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi,Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akifungua rasmi mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo. Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Sera - Utumishi ambaye pia ni Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara Bw.Mathias Kabunduguru akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi,Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Pindi Chana (hayupo pichani) kufungua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BARAZA KUU LA USALAMA LAJADILI NAFASI YA MWANAMKE: PINDI CHANA AZUNGUMZA

Taswira ya Ukumbi wa Baraza Kuu la Usalama ulivyosheheni wajumbe na Washiriki wa Majadiliano kuhusu Azimio la Wanawake, Usalama na Amani, majadiliano ambayo pia yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali.Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akizungumza mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakati Baraza hilo lilipokutana kwa siku zima ya Jumanne kujadili Azimio 1325, Azimio ...

 

9 years ago

Michuzi

PINDI CHANA AMKABIDHI RAIS WA BARAZA KUU LA UN TAMKO LA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI

 Mwenyekiti wa Mtandao wa Kimataifa wa Wabunge  (PGA) Mhe.  Pindi Chana ( MB) akimkabidhi Rais wa Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mataifa,  Bw.Mogens Lykketoft,Tamko la  wabunge lenye sahihi 607 za wabunge kutoka mataifa 70 la  kutokomeza ndo za utotoni na za kulazimisha katika hafla fupi iliyofanyika  Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu. Mwakilishi wa Kudumu wa Zambia katika  Umoja wa Mataifa, Balozi Dr. Mwaba Kasese-Bota akizungumza wakati wa hafla hiyo ambapo alianisha mipango mbalimbali...

 

9 years ago

Vijimambo

MHE. PINDI CHANA AMKABIDHI RAIS WA BARAZA KUU LA UN TAMKO LA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI

Mwenyekiti wa Mtandao wa Kimataifa wa Wabunge (PGA) Mhe. Pindi Chana ( MB) akimkabidhi Rais wa Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mataifa, Bw.Mogens Lykketoft,Tamko la wabunge lenye sahihi 607 za wabunge kutoka mataifa 70 la kutokomeza ndo za utotoni na za kulazimisha katika hafla fupi iliyofanyika Umoja wa Mataifa siku ya JumatatuMwakilishi wa Kudumu wa Zambia katika Umoja wa Mataifa, Balozi Dr. Mwaba Kasese-Bota akizungumza wakati wa hafla hiyo ambapo alianisha mipango mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. DKT PINDI CHANA AZINDUA SEMINA YA KUDUMISHA AMANI NA KUKOMESHA VITENDO VYA UKATILI ROLYA, MARA

Mheshimiwa Dkt.Pindi Chana (Mb.) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto tarehe 17/12/2014 alifungua rasmi semina maalum kuhusu masuala ya kukomesha vitendo vya Ukatili na kudumisha Amani Mkoani Mara.
 Semina hiyo ilindaliwa na kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Rorya , Kanisa kuu Mt. Petro Kowak, kata ya Nyathorogo.
Wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo Mheshimiwa Naibu Waziri aliwasihi wadau mbalimbali wa maendeleo ya Jinsia kutekeleza kwa vitendo kauli Mbiu Siku ya...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO‏

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala, Nora Mzeru. Naibu...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Pindi Chana mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb) akihutubia wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, na ususi wa nywele kwenye mahafali ya yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam tarehe 20/08/2015. Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. Dkt. PINDI CHANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JINSIA NA MAENDELEO YA WANAWAKE WA NCHI ZA SADC, NCHINI HARARE, ZIMBABWE

 Mhe. Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto (kushoto) pamoja na mmoja wa wajumbe kutoka Tanzania,  Bi. Costansia Gabusa, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jinsia wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wanaoshughulikia masuala ya Jinsia na Wanawake, Harare Zimbabwe. Mhe. Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto (kushoto) akiwa na mmoja wa wajumbe kutoka Tanzania,  Bi. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani