DKT. SHEIN AKUTANA NA WABUNGE KUTOKA IRELAND
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bibi Fionuala Gilsenan akiongoza ujumbe wa Wabunge wa Ireland walipofika Ikulu Mjini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bibi Fionuala Gilsenan (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wa Wabunge wa Irelenad walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kwa mazungumzo , [Picha na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDkt. Shein akutana na Waziri wa Nchi,Maendeleo,Biasharana Ushirikiano wa Ireland
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Dk Shein awapa somo wabunge wa Ireland
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Dkt. Bilal akutana na Rais wa MMI bingwa wa masuala ya utawala na uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na...
10 years ago
MichuziDKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA UTAWALA NA UONGOZI KUTOKA BAHAMAS, DKT. MYLES MUNROE
9 years ago
MichuziRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
MichuziDkt shein akutana na balozi wa ufaransa nchini
10 years ago
MichuziDKT.SHEIN AKUTANA TIMU YA MAVETERANI BACELONA
10 years ago
MichuziDKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI
9 years ago
MichuziDK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA