Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. SHEIN ZIARANI NCHINI INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mashada ya mauwa wakati wa mapokezi nyake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la Rajastan,akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo mkewe Mama Mwanamwema Shein katika ziara rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ulinzi wakati wa mapokezi yake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Dk. Shein aendelea na Ziara Nchini India

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na akipata maelezo kutoka kwa Bunker Roy(katikati) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina mbali mbali ikiwemo vifaa vya umeme wa jua katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajistan Nchni India akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake katika kukuza uhusiani na mashirikiano ya Kijamii. Wanafunzi wa kike kutoka nchi mbali mbali wakiwa na mashine ya Umeme unaotumia Jua...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Aelekea Nchini India kwa ziara Rasmi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe wake (katikati) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA MAHINDRA&MAHINDRA LTD MUMBAI, INDIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea shada la maua na kusalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kimataifa ya Mahindra& MahindraLtd,Bw.Ruzbeh Irani,wakati alipowasili katika Makamo Makuu ya Kiwanda kinachotengeneza Matrekta cha Mahindra & Mahindra Ltd Mumbai Nchni India   Baadhi ya watendaji katika kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd wakiwa katika mkutano uliowajumuisha watendaji wa kampuni hiyo na Ujumbe wa Rais wa...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt shein akutana na balozi wa ufaransa nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo / Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana   na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI COMORO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Rais wa Serikali ya JamhurI ya Muungano wa Comoro Dr.Ikililou Dhoinine wakiagana katika ukumbi wa Ikulu ya Comoro wakati Rais Shein alipomaliza ziara yake na ujumbe aliofuatana nao nchini humo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Comoro Mohamed Ali Soilihi katika uwanja wa Ndege wa Comoro wakati Dk.Shein alipomaliza ziara yake ya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AHUDHURIA MKUTANO WA BIASHARA BERLIN, NCHINI UJERUMANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobartkabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobart akizungumza na washiriki mbali mbali wa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani alipoufungua rasmi katika jumba la Baraza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani