Dodoma ilivyokuwa kabla ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Waandishi wa Habari wakiwahi kuingia ukumbini kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum cha CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu maarufu kama White House.

Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Martine Shigela muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum mjini Dodoma.

Hivi ndivyo nje ya jengo la CCM Makao Makuu,Wajasiriamali kwa wingi wao wamekuwa wakifanya bishara za bidhaa zao kwa wana CCM waliokuja kuhudhuria Mkutano Mkuu mjini Dodoma.


Magari...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
DK. MAGUFULI NA DK. SHEIN WATETA KABLA YA KUANZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, IKULU YA CHAMEINO MJINI DODOMA, LEO

11 years ago
Michuzi
Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma


9 years ago
Michuzi
JK alipotua Dodoma kuongoza kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili majina ya walioomba kugombea Uspika


10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

10 years ago
GPLKIKAO CHA KAMATI KUU CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA
5 years ago
Michuzi
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.







11 years ago
Dewji Blog19 Aug
JK awasili mjini Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Rais Jakaya Kikwete akialimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM August 19, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma August 19, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,...
10 years ago
GPL
TASWIRA ZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA KILIVYOENDESHWA JANA
5 years ago
CCM Blog
MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA, IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO, HAMASA ZATANDA UKUMBINI
