DON JAZZY AMWOMBEA TIWA SAVAGE AJIFUNGUE MAPEMA
Lagos, Nigeria BOSI na prodyuza wa kampuni la Mavin Records, Don Jazzy, amesema anategemea mwanamuziki Tiwa Savage, ajifungue mapema ili aweze kuendeleza harakati za kampuni lake katika ‘kutengeneza fedha’. Don Baba J, kama prodyuza huyo anavyojulikana, na ambaye ni meneja wa Tiwa, aliandika kwenye mtandao wa Instagram kwa mwanamke huyo aliyevuma na wimbo wa ‘Eminado’ kwamba: “Mpenzi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Dec
Video: Tiwa Savage Ft Don Jazzy – African Waist
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage ameachia video mpya wimbo unaitwa “African Waist” amemshirikisha Don Jazzy hii ni single ambayo inapatikana katika Album yake mpya ya “RED” ipo mtaani tayari.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Itazame fresh new single kutoka kwa Tiwa Savage; ‘African Waist’ feat. Don Jazzy – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani kwa mara nyingine tena. Album yake mpya RED ipo mtaani tayari ikiwa na ngoma nyingi kali pamoja na hii mpya; African Waist (feat. Don Jazzy) ambayo first lady wa Mavin Records anaisogeza kwetu official music video ya mdundo huo mpya. Kama […]
The post Itazame fresh new single kutoka kwa Tiwa Savage; ‘African Waist’ feat. Don Jazzy – (Video)! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo531 Oct
Music: Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr Sid, D’prince, Reekado Banks, Di’ja & Korede Bello – Jantamanta
10 years ago
Bongo526 Nov
New Video: Tiwa Savage — My Darlin’
10 years ago
VijimamboTiwa Savage's baby shower on a Yacht
Posted by Linda
10 years ago
GPL‘BABY SHOWER’ YA TIWA SAVAGE MH!
10 years ago
Bongo522 Jul
Tiwa Savage gives birth to bouncing baby boy