Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dotnata Awavaa Kajala na Wema

Mwigizaji mkongwe, Husna Posh ‘Dotnata’ ameengilia kati ugomvi kati ya mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Kajala Masanja kuwataka waachane na hali hiyo kwani bifu lao halina faida kwao na katika jamii.

Akizungumza na Tanuru la Filama hapo jana, Dotnata alisema kuwa  kwa akili ya kibinadamu ugongvi huo hauwezi kuisha  kutokana na kila mmoja kumuona mwenzake ndiyo mbaya.

Namuomba Mungu kila siku ili Wema amsamehe Kajala na Kajala amsamehe Wema ili maisha yaendelee kwani kwa akili za...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

11 years ago

GPL

DOTNATA AWACHANA WANAOMCHUKIA WEMA

Na Shani Ramadhani MJASIRIAMALI na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ ameibuka na kusema anachukizwa na watu wenye kasumba ya kumsema vibaya mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’, waache. Mjasiriamali na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’. Akipiga stori na paparazi wetu Dotnata alisema anakerwa sana na watu wanaokuwa na chuki na mwigizaji...

 

11 years ago

GPL

SHEHE AWAVAA WEMA, DIDA!

Hamida Hassan na Musa Mateja
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum (pichani kushoto), amewavaa baadhi ya mastaa Waislamu wa Kibongo wenye kaunta zenye pombe majumbani mwao hasa kwa kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwataka waondoe mara moja kwani ujana unawasumbua, Ijumaa lina ripoti kamili. Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum WAMO DIDA, WEMA & DIAMOND
Uchunguzi wa gazeti hili...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AMWANGUKIA WEMA

Waandishi wetu
KWELI dhamira inauma! Staa mkali wa sinema za Bongo, Kajala Masanja ameamua kukifungua kinywa chake na kusema kuwa anamwomba msamaha zilipendwa wake katika urafiki, Wema Isaac Sepetu kwa mabaya yote aliyomtendea, Amani linakupa zaidi. Staa mkali wa sinema za Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza katika mahojiano maalum na  mapaparazi wetu mapema wiki hii jijini Dar, Kajala alisema hata kama kuna chuki ya ukubwa kwa...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA KIMENUKA

Stori: waandishi wetu Kimenuka upyaaa! Wale mashostito wawili katika kiwanda cha filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja ambao walikuwa marafiki wa kufa na kuzikana, wanadaiwa kuvunja rasmi ushosti wao, Ijumaa limenyetishiwa. Wema na Kajala wakiwa bado mashosti. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki wa mastaa hao, hivi sasa hali ni tete huku sababu mbalimbali zikidaiwa kuwa chanzo cha yote. WEMA KARUDI KWA...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMUUMBUA KAJALA

STORI: Musa Mateja/Amani HABARI ya mjini ni kwamba, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amedaiwa kumuumbua shosti wake wa zamani, Kajala Masanja kwa kumwaga ‘ubuyu’ kwamba amefilisika baada ya kigogo maarufu kama CK anayedaiwa kuwa ndiye mpenzi wake, kuyumba kiuchumi, Amani linakupa mchapo kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kigogo huyo aliyewahi kuwa na uhusiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani