Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Download na Sikiliza wimbo mpya msanii Wiz Tayson Ft Barnaba — Sijutii

barnaba

Barnaba ameingia katika list ya wasanii wakubwa walioshiriki katika kazi za wasanii wengine na ndiye msanii anayeongoza kusaidia wasanii wanaochipukia katika muziki wa Bongo Fleva kwa mwaka 2015.

Safari hii Barnaba anasikika kwenye kiitikio cha wimbo mpya kabisa wa Hip Hop alioshirikiswa na Wiz Tayson kutoka Maskan ya B.O.B Click.

tay

Wiz Tayson wimbo wake mpya huu ameupatia jina la SIJUTII alioufanyia katika studio za Kir record chini ya muandaaji Rash Don.

Sijutii Wiz anazungumzia maisha ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Download na sikiliza wimbo mpya “NAIYE by Wiista”

Wiista NAIYE

Wiista anaefahamika zaidi kama member wa tatu wa kundi la Navy Kenzo (Wazee wa Bokodo Chelewa, Chelewa) has officially went solo under new Management of Ngoma Entertainment. leo ameachia rasmi ngoma yake mpya iitwayo NAIYE, and it’s catching waves like crazy.

Be part of the movement, Play, Listen, Be Relevant

Artist: Wiista

Song: NAIYE

Producer: El Da Bway

Management: Ngoma Entertainment

 

10 years ago

Dewji Blog

Sikiliza na Download wimbo mpya wa Kimbunga ft O TEN — Kiraruraru

OFFICIAL COVER KIMBUNGA

Greetingz Everybody, Hope Y’all doin’ Great…We(Tongwe) are all doin’ Great, Fresh, Safe N Sound..

Thanx n Praises to The Almighty Creator…We got some New Releases from our Untouchable Studioz,

Startin’ wit’ “KIMBUNGA”.. He is Premierin’ his New Single tittled “KIMBUNGA ft O TEN – KIRARURARU” At Tongwe studios, Oysterbay Dar-es-Salaam, from his Album named “BENCHI LA TONGWE VOL 1”… tracks are from our Undisputable Studios ,Tongwe Record…

Press play button below and enjoy the...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sikiliza na download wimbo mpya wa Amour Genius FT Kadjanito — Wanimaliza

_DSC0035

Wimbo mpya wa Amour Genius (pichani) aliomshirikisha Kadjanito ” Wanimaliza” uliorekodiwa na Combination Sounds wenye mahadhi ya Zouk usikilize hapa chini.

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

11 years ago

GPL

SIKILIZA WIMBO MPYA WA MIKE FT. STIZLE - BIDII

NI wimbo wangu wa tatu tangu nimeanza muziki na kuachia nyimbo zangu rasmi na hii imefanyika nchini Kenya chini ya utayarishaji wake Amoh analiyechini ya studio za Favor Rec na aliyeshirikishwa katika chorus ya wimbo huu ni Stizle ambaye aliandka na kuimba kiitikio. Nimeamua kuimba muziki wa haina hii ili kufikia mashabiki wanaopenda muziki wa kurap lakini ulio katika mahadhi ya kuchezeka lakini sijatoka katika misingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani