Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Drake awakutanisha Lil Wayne na Birdman

Wimbledon 2015 - Day 1 - Celebrity SightingsMIAMI, MAREKANI

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Lil Wayne na Birdman, wamekutana kwa mara ya kwanza kwenye ‘party’ ya msanii mwenzao, Drake.

Wawili hao wana mgogoro tangu Agosti mwaka jana hivyo kuwafanya wavunjeukaribu wao, lakini mwanzoni mwa mwaka huu wawili hao wamejikuta wakikutana katika pati ya Drake ambayo aliiandaa kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya.

Pati hiyo ilifanyika mjini Miami kwenye Ukumbi wa E11, hata hivyo mashabiki wamebaki na maswali mengi kama wawili hao...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Lil Wayne adai Birdman amewaibia Drake, Nicki Minaj na Tyga mkwanja mrefu

Ugomvi kati ya Young Money na Cash Money unaendelea kuwa mkubwa zaidi baada ya Lil Wayne kutoa madai mapya. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Wayne anadai kuwa na maelezo kutoka kwa wawakilishi wa Drake na Tyga yakisema wameibiwa fedha nyingi. Kwa upande wa Nicki Minaj, anadai kuwa Young Money imemfanyia uhuni kwa kushindwa kuwalipa […]

 

10 years ago

Bongo5

Lil Wayne apanga kumpeleka Birdman mahakamani

Lil Wayne na Birdman wapo vitani rasmi. Wayne anadaiwa kuwa na mpango wa kumpeleka bosi wake mahakamani baada ya njia za kawaida kumaliza tofauti zao kushindikana. Mtandao wa TMZ umedai kuwa wawili hao walijaribu kuyamaliza kifamilia zaidi lakini sasa Weezy amedhamiria kumshtaki Birdman ili atoke kwenye uongozi wa Cash Money Records. Wayne anasema Birdman amekiuka […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Lil Wayne na Birdman wafanyiana fujo klabu

Lil Wayne na Birdman wameripotiwa kufanyiana fujo kwenye kiota cha Club Liv cha jijini Miami juzi Jumapili zilizopelekea kufungwa. Kila mmoja na wapambe wao walikuwa kwenye klabu hiyo kumuunga mkono Jim Jones aliyekuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na fujo ilianza baada ya Weezy kupanda kutumbuiza. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia Birdman alitupa kinywaji kwa […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

EXCLUSIVE: WATCH BIRDMAN INTERVIEW WITH ANGIE MARTINEZ ABOUT LIL' WAYNE DRAMA

Birdman expressed sadness over his ongoing feud with Lil Wayne in a preview for an upcoming tell-all interview with Power 105.1's Angie Martinez. The Cash Money honcho said Wayne's screed against him and the label "was shocking to everybody. I never thought Mula [Wayne] would be saying nothing negative about me, ever.


"So that man open his mouth and say something negative about me, that was a lot — that shit fucked my day up," Birdman continued. "I love my son. He mean the world to me. For...

 

10 years ago

BBCSwahili

Drake amwendea kinyume Lil Wayne

i Lil Wayne alikuwa tayari kumshambulia msanii mwenza na rafikiye Drake kwa kumuendea kinyume na mpenzi wake

 

11 years ago

Bongo5

Lil Wayne na Drake kufanya tour ya ushindani pamoja

Vita ya YMCMB itaanza hivi karibuni nchini Marekani pale Drake na Lil Wayne watakapochuana kwenye ziara ya pamoja itakayoanza mwezi ujao. Meneja wa Lil Wayne, Cortez Bryant ndiye aliyekuja na wazo la “Drake Vs. Lil Wayne” na watengezaji wa video game, Capcom watasaidia kulileta wazo katika uhai jukwaani. Battle hiyo katika majiji 31 itaanza August […]

 

5 years ago

Bongo5

New Video: Nicki Minaj, Drake & Lil Wayne – No Frauds

Baada ya kutoonekana kwenye video wakiwa pamoja, Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake wameachia video ya wimbo wao ‘No Frauds’. Utazame hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

10 years ago

Bongo5

Lil Wayne kuondoka Cash Money pamoja na Drake na Nicki Minaj

Nicki Minaj na Drake ni kama watoto wa Lil Wayne hivyo akiondoka Cash Money Records ataondoka nao hata kama Birdman akiwa na mipango mingine, kwa mujibu wa TMZ. Vyanzo vilivyo karibu na Lil Wayne vimeuambia mtandao huo kuwa pamoja na kutaka alipwe dola milioni nane na Birdman, Wayne anapanga kuhakikisha kuwa wasanii wa Young Money […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani