Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DSTV KUENDELEA KUTOA BURUDANI KWA MASHABIKI WA SOKA WIKIENDI HII


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

BBCSwahili

EPL kuendelea wikiendi hii

Ligi ya England itaendelea tena wikiendi hii kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto siku ya jumamosi

 

10 years ago

Michuzi

Bonaza la Masauni Cup Lazidi kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka Zanzibar

Viongozi wa meza kuu wakifuatiliac mchezo huo kati ya Muembeladu na Kisimajongoo katika Bonaza la kukuza Vipaji kwa Vijana lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Masauni. na kutoa Ofa kwa mchezaji Bora kupata fursa ya kusoma Kozi ya Computer katika Kituo cha Vija cha TAYI                 Mchezaji wa timu ya Muembeladu akimpita mchezaji wa timu ya Kisimajongoo.timu ya Muembeladu imeshinda mabao 4--1       Mchezaji aliyeibuka mchezaji Bora Amour Janja akiwapita wachezaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

STARTIMES LEAGUE KUENDELEA WIKIENDI HII LIVE

Ligi Daraja la Daraja la Kwanza (StarTimes League) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo kumi na mbili kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, huku kituo cha StarTv kikitarajiwa kuonyesha moja kwa moja michezo miwili ya ligi hiyo.Kundi A Ijumaa, Januari Mosi 2016 Polisi Dar watawakaribisha Mji Mkuu katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam, huku kesho Jumamosi michezo tisa ikichezwa katika viwanja mbalimbali nchini.Jumamosi StarTv watakua uwanja wa Karume jijini Dar es salaam...

 

10 years ago

Michuzi

LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA WIKIENDI HII


Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea wikiendi hii katika viwanja sita tofauti nchini, viwanja vinne vikitimua vumbi kesho jumamosi, na michezo miwili kuchezwa siku ya jumapili.
Jumamosi JKT Ruvu watakua wenyeji wa Coastal Union katika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es salaam, huku wakata miwa wa Kagera Sugar wakiwakaribisha maafande wa Ruvu Shooting katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Timu ya Mtibwa Sugar watawakaribisha Azam FC kwenye uwanja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani