Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STARTIMES LEAGUE KUENDELEA WIKIENDI HII LIVE

Ligi Daraja la Daraja la Kwanza (StarTimes League) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo kumi na mbili kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, huku kituo cha StarTv kikitarajiwa kuonyesha moja kwa moja michezo miwili ya ligi hiyo.Kundi A Ijumaa, Januari Mosi 2016 Polisi Dar watawakaribisha Mji Mkuu katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam, huku kesho Jumamosi michezo tisa ikichezwa katika viwanja mbalimbali nchini.Jumamosi StarTv watakua uwanja wa Karume jijini Dar es salaam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

EPL kuendelea wikiendi hii

Ligi ya England itaendelea tena wikiendi hii kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto siku ya jumamosi

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu England kuendelea wikiendi hii

Ligi Kuu England itaendelea tena wikiendi hii ambapo michezo saba ya mzungo wa raundi ya 24 itapigwa katika viwanja tofauti.

 

10 years ago

Michuzi

LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA WIKIENDI HII


Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea wikiendi hii katika viwanja sita tofauti nchini, viwanja vinne vikitimua vumbi kesho jumamosi, na michezo miwili kuchezwa siku ya jumapili.
Jumamosi JKT Ruvu watakua wenyeji wa Coastal Union katika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es salaam, huku wakata miwa wa Kagera Sugar wakiwakaribisha maafande wa Ruvu Shooting katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Timu ya Mtibwa Sugar watawakaribisha Azam FC kwenye uwanja wa...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Habarileo

Ligi Daraja la Kwanza kunguruma wikiendi hii

LIGI Daraja la Kwanza chini (FDL) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika viwanja mbalimbali kutoka katika makundi yote matatu ya A, B, na C.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani