Duka la London lakataa kumuuzia saa Samuel Eto’o sababu ni mtu mweusi!
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Samuel Eto’o amedai kuwa amewahi kuwa mhanga wa ubaguzi wa rangi pindi alipoenda kufanya shopping kwenye duka moja jijini London. Mchezaji huyo raia wa Cameroon, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Italia, Sampdoria, ameiambia CNN kuwa alibaguliwa baada ya kwenda kununua saa yenye thamani ya £10,000. Eto’o — ambaye kuna […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Jeraha lamzonga Samuel Eto'o
Nahodha wa Cameroon Samuel Eto'o huenda asicheze Jumatano watakapochuana na Croatia kutokana na jeraha
5 years ago
BBC03 Mar
Samuel Eto'o: 'Football can unite Africa'
Former African Footballer of the Year Samuel Eto'o believes that football has the power to unite people around the continent.
5 years ago
Daily Mail03 Apr
Samuel Eto'o and Didier Drogba criticise plan to test coronavirus vaccine in Africa
Samuel Eto'o and Didier Drogba criticise plan to test coronavirus vaccine in Africa Daily Mail'Africa is not a laboratory' - Drogba joins Eto'o in denouncing 'racist' remarks by French doctors Goal.comCoronavirus: France racism row over doctors' Africa testing comments BBC NewsEtoo, Drogba and Demba Ba explode: Sons of b**ches, Africa isnt a laboratory BeSoccer EN'You're just SH*T!' - Eto'o & Drogba slam medical professors over 'racist' remarks coronavirus vaccine tests should be...
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Mwanaharakati anayejifanya mtu mweusi
Wazazi wa mwanaharakati mmoja wa haki za raia nchini Marekani wamesema kuwa anajifanya kuwa mtu mweusi kwa miaka kadhaa sasa.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Mtu mweusi aliyebaguliwa ataka haki
Mtu aliyezuiliwa kuingia Paris Metro kwa sababu za ubaguzi wa rangi alilia haki
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Afisa aliyemuua mtu mweusi ashtakiwa US
Afisa mmoja mzungu katika jimbo la Karolina ya Kusini nchini Marekani ameshtakiwa kwa mauaji ya mtu mweusi,
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Polisi mwingine aua mtu mweusi, Marekani
Wakuu katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wamemhukumu Afisa mmoja wa polisi mweupe, kwa kosa la mauaji.
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
10 years ago
GPL
MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA KWENYE TRENI UFARANSA ATAKA HAKI
Mtu mweusi, Souleymane S. (kushoto) akijiandaa kupanda treni la chini ya ardhi la jijini Paris, Ufaransa. Souleymane S. akisukumwa na mashabiki wa Chelsea ambao…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania