E-FM YAITEKA KIBAHAâ€
MC akizindua rasmi shoo hiyo iliyoandaliwa na EFM.
Mashabiki wakiserebuka katika shangwe hilo.
Wapenzi wa E-FM wakiwa katika burudani hiyo.
...Shangwe hilo likiendelea.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/H*dtEOwOyyBTKp8*2GG9F63Ggd6kXwMJggisEmwe7PdyLOBXy2lAwfFm47mYZgO1igMbaxgcz0MwEsm7BSSY90cgztlFEeFY/8.jpg)
E-FM YAITEKA KIBAHA
9 years ago
Mtanzania16 Sep
CCM yaiteka ngome ya CUF
Waandishi Wetu, Zanzibar na Dar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitikisa ngome kuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) kwenye mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika Kisiwa cha Pemba.
Pemba ni ngome ya chama hicho cha upinzani visiwani Zanzibar kutokana na kuwa na nguvu kubwa, huku CCM ikiwa na mizizi Unguja.
Mkutano wa CCM uliofanyika jana katika Uwanja wa Gombani ya Kale Mkoa wa Kaskazini Pemba Wilaya ya Chakechake, inaweza kutafsiriwa kuwa ilitingishwa kutokana na umati mkubwa...