Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yaiteka ngome ya CUF

Pg 3Waandishi Wetu, Zanzibar na Dar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitikisa ngome kuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) kwenye mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika Kisiwa cha Pemba.

Pemba ni ngome ya chama hicho cha upinzani visiwani Zanzibar kutokana na kuwa na nguvu kubwa,  huku CCM ikiwa na mizizi Unguja.

Mkutano wa CCM uliofanyika jana katika Uwanja wa Gombani ya Kale Mkoa wa Kaskazini Pemba Wilaya ya Chakechake, inaweza kutafsiriwa kuwa ilitingishwa kutokana na umati mkubwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Lowassa aiteka ngome ya CCM

Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa), Edward Lowassa akihutubia wananchi kwenye uwanja Town School, mjini Tabora jana. 6th September 2015 Harakati za mgombea urais kupitia Chama cha […]

The post Lowassa aiteka ngome ya CCM appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mtanzania

Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba

 

mtanzaniadaily.2indd
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

E-FM YAITEKA KIBAHA‏

MC akizindua rasmi shoo hiyo iliyoandaliwa na EFM.Mashabiki wakiserebuka katika shangwe hilo.Wapenzi wa E-FM wakiwa katika burudani hiyo....Shangwe hilo likiendelea.

 

9 years ago

Vijimambo

MOTO WA MWIGULU NCHEMBA WATUA MAJIMBO 5 YA MOROGORO,HAKIKA MORO NI NGOME YA CCM

 Mamia ya Wananchi wa Kata ya Dumila Jimbo la Kilosa wakisikiliza sera za Mwigulu Nchemba alipokuwa akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi hii leo."Wananchi wa Dumila,Mchagueni Mbunge huyu wa CCM,Ni Mchapa kazi na ameshaanza kufanya kazi za maendeleo hata bila kuwa Mbuge,Hakikisheni anashinda kwa kishindo iliakaungane na timu ya kazi ya Magufuli"Mwigulu akizungumza Dumila.Mwigulu Nchemba akiondoka viwanja vya Mkutano Kata ya Dumila.Mwigulu Nchemba akiwasili kata ya Kilombero Jimbo la Mikumi...

 

10 years ago

GPL

E-FM YAITEKA KIBAHA‏

MC akizindua rasmi shoo hiyo iliyoandaliwa na EFM. Mashabiki wakiserebuka katika shangwe hilo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Sio kweli mikoa tuliyochagua ni ngome ya CCM ni upotoshwaji mkubwa wa wanasiasa — NEC

IMG_4357

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU YA CCM,NDUGU KINANA YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA WILAYANI LUSHOTO.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi Ndugu Ismail Semkunde aliyekuwa Mwenyekiti wa Jimbo la Mlalo Chadema na kuamua kurejea CCM. Mzee Julius Kavurai aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Mlalo Chadema akiwapungia mkono wananchi kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo kwenye ziara wilayani Lushoto ya kujenga na kukiimarisha chama pamoja na kuangalia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 inavyoendelea. Mzee Charles Kagonji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani