EBOLA HAITADHURU UTALII TANZANIA- SAFARI HUB YAWAHAKIKISHIA WAPENZI WA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-w3qCgimm2Vs/VJGJFRQZ_LI/AAAAAAAG35s/k8uvXmFcHKw/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
Na Freddy Macha, LondonWatalii na wageni Tanzania wamehakikishiwa kwamba kasheshe ya Ebola inayousakama uwanda wa magharibi ya bara haitaidhuru Bongo. Akizungumza nami katika ofisi ya kampuni ya Safari Hub yenye makao makuu Arusha na London, Mkurugenzi, Navraj Hans alisema ingawa kitakwimu idadi ya watalii barani imeshuka kwa asilimia 50 hakuna haja ya kuhaha. “Ebola inasambaa kirahisi zaidi kuelekea Ulaya kutoka Afrika Magharibi kuliko kuja kwetu. Sisi tuko mbali sana.” Bwana Hans ambaye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen19 Dec
A CHAT FROM LONDON: Ebola threat dismissed as safari hub boosts tourism
10 years ago
Vijimambo08 Dec
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/110.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey Meena, Teddy Mapunda mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya (TTB) na kutoka kushoto ni Mdau wa Utalii Bw. Nestor Mapunda na Kaimu Mkurugenzi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gMPWl_1mMWE/XklqiGjC3XI/AAAAAAALdlA/kvV4Gnv18F45QsO41psQpoo1BUyhAFgXACLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Absa Tanzania yawahakikishia wateja wake huduma bora zaidi
![](https://1.bp.blogspot.com/-gMPWl_1mMWE/XklqiGjC3XI/AAAAAAALdlA/kvV4Gnv18F45QsO41psQpoo1BUyhAFgXACLcBGAsYHQ/s640/01.jpg)
5 years ago
The Citizen Daily01 Mar
What it takes for Tanzania to become agricultural hub
10 years ago
Michuzi07 Feb
TANZANIA YATANGAZA UTALII PARIS KUPITIA MAWAKALA WA UTALII
Madhumuni ya hafla hii ni kuitangazia Tanzania na vivutio vyake vya utalii kwa mawakala wa safari (Tour operators) ambao ni wadau wakubwa kutokana na ushawishi wao kwa watalii wa Ufaransa wanaotaka kutembelea Tanzania.
11 years ago
President14 Apr
Tanzania Could Become East Africa's Transport Hub
Ventures Africa
Ventures Africa
VENTURES AFRICA -In line with its prospects of acheiving regional transportation hub status, Tanzanian President, Jakaya Kikwete says his country's plans to hike its cargo volumes by 40 percent over 2013 levels through the country's main Dar es Salam ...
Research works play vital role in inclusive growth - researchersIPPmedia
Tanzania outlines plans to open ports to landlocked neighboursIndependent...
10 years ago
TheCitizen20 Sep
Tanzania poised to be east Africa’s Islamic banking hub
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pzeNKMYF080/VJvuwutHQ8I/AAAAAAAG5wA/nx4IanhGv1E/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, afanya mahojiano na gazeti la Gulf Today kuhusu kuvutia uwekezaji na kukuza utalii Tanzania.
![](http://4.bp.blogspot.com/-pzeNKMYF080/VJvuwutHQ8I/AAAAAAAG5wA/nx4IanhGv1E/s640/unnamed%2B(6).jpg)
Ubalozi Mdogo umejiwekea utaratibu katika mpango wake wa mwaka, kuandaa kongamano za uwekezaji tatu kwa kila mwaka.
Ni imani kuwa mpango huu utasaidia kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania na kuvutia idadi kubwa ya watalii...