Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YATANGAZA UTALII PARIS KUPITIA MAWAKALA WA UTALII

Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya Diplomasia ya  uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa uliandaa hafla maalum kwa ajili ya mawakala wa safari (Tour operators) iliyofanyika mjini Paris Ijumaa Februari 6, 2015

Madhumuni ya hafla hii ni kuitangazia Tanzania na vivutio vyake vya utalii kwa mawakala wa safari (Tour operators) ambao ni wadau wakubwa kutokana na ushawishi wao kwa watalii wa Ufaransa wanaotaka kutembelea Tanzania.
Baadhi ya wadau wa utalii wakimsikiliza Mh Balozi Begum...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA

1Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey Meena, Teddy Mapunda mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya (TTB) na kutoka kushoto ni Mdau wa Utalii Bw. Nestor Mapunda na Kaimu Mkurugenzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza

1

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey Meena, Teddy Mapunda mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya (TTB) na kutoka kushoto ni Mdau wa Utalii Bw. Nestor Mapunda na Kaimu Mkurugenzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ina fursa ya kuongeza mapato kupitia utalii wa ndani

Imekuwapo dhana kuwa unapozungumzia mtalii unamaanisha ni mtu kutoka nje ya nchi, hasa Ulaya, anayekuja nchini kuona maliasili ya taifa kama vile kutembelea mbuga za wanyama, mambo ya kale na kupanda mlima.

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKALA WA UTALII WA KIMATAIFA KUHUDHURIA ONYESHO LA S!TE 2015

Kundi la Mawakala wa utalii kutoka nchi mbalimbali limewasili jana jijini Dar es Salaam likitokea visiwa vya Zanzibar kwa ajili ya kushiriki onesho la kimataifa la Utalii lijulikanalo kama “Swahili International Tourism Expo”. Onesho hili litafanyika kuanzia leo Oktoba 1 – 3, 2015 Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Mawakala hawa wanaojihusisha na kutoa huduma mbalimbali za utalii katika nchi zao, wamepata mualiko huu wa kuhudhuria onyesho la S!TE ili kuwapa nafasi ya kuvijuwa vivutio vya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mawakala wa Utalii wa Kimataifa kuhudhuria onyesho la SITE 2015

1 (7)

Mawakala wakipata historia ya mahara ilipokuwa ikifanyika biashara ya Utaumwa.

Kundi la Mawakala wa utalii kutoka nchi mbalimbali limewasili jana jijini Dar es Salaam likitokea visiwa vya Zanzibar kwa ajili ya kushiriki onesho la kimataifa la Utalii lijulikanalo kama “Swahili International Tourism Expo”. Onesho hilo limeanza jana Oktoba 1 – 3, 2015 Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Mawakala hawa wanaojihusisha na kutoa huduma mbalimbali za utalii katika nchi zao, wamepata mualiko huu wa...

 

10 years ago

Michuzi

wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni. IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakiniIMG-20140704-WA0004MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo. Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA UTALII YATAJA MIKAKATI ENDELEVU 10 KUINUA UTALII KATIKA MLIPUKO WA CORONA


Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa Bodi uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.Wajumbe wa Bodi wakifuatilia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB), Bi. Devotha Mdachi akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani