Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EBOLA: TISHIO KWA AMANI NA USALAMA WA KIMATAIFA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya "USIKU WA JAKAYA" iliyoandaliwa na jumuiya ya Watanzania DMV leo jioni Rais Kikwete akilakiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kuwasili hoteli aliyofikia Karibu Washington DC Mheshimiwa Rais akiendelea kusalimia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

EBOLA : TISHIO LA AMANI NA USALAMA WA KIMATAIFA

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mwezi wa Septemba, Muwakilishi wa Kudumu wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Balozi Samantha Power akizungumza wakati wa Mkutano wa Dharura wa Baraza Kuu la Usalama, uliofanyika Alhamisi kwa lengo la kukusanya nguvu za Jumuiya ya Kimataifa katika kuukabili mlipuko wa Ebola ambao sasa unaangaliwa katika jicho la kuwa tishio la amani na usalama wa Kimataifa. Wajumbe wa Baraza Kuu la Usalama wakipiga kura ya kuunga mkono azimio namba...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

10 years ago

Vijimambo

UPUNGUFU WA POTASSIUM MWILINI, WAWEZA KUWA TISHIO KWA USALAMA WA MOYO .

NDIZI HUSIFIKA KWA UTAJIRI WAKE WA MADINI YA POTASSIUMPotassium ni moja  kati  ya madini muhimu ya chumvi chumvi mwilini.Ikisaidiana na chumvu chumvi nyingine kama Calcium, Magnesium, Sodium, Potassium ni muhimu sana kwenye usimamiaji wa kiwango sahihi cha maji mwilini, utendaji wa cell na zaidi uanzishaji wa mwendo ( conduction of  electricity) katika  misuli ya mwili yenye mwendo hiari na mwendo usio wa hiari. Hivyo,Pottasium hupelekea mwamko katika mishipa ya moyo inayohusika na...

 

10 years ago

Habarileo

Ebola wadaiwa tishio kwa uchumi

MKUU wa Benki ya Dunia, Jim Kim amehadharisha kuwa kuenea kwa ugonjwa wa ebola kunaweza kusababisha janga la kiuchumi katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone na ametaka hatua zichukuliwe haraka ili kuzuia kuenea zaidi ugonjwa huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tukuze utalii kwa kutangaza amani na usalama

Sekta ya utalii nchini, inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa. Kwa Mkoa wa Arusha sekta hii ndiyo tegemeo la watu wengi. Imeweza kutoa ajira kwa sekta rasmi na hata ambazo zi rasmi.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuzidi kuijenga Tanzania yetu kwa amani na usalama

Kufunga mwaka na kufungua mwaka ni sikukuu zinazojirudia kila mwaka. Kwa njia moja ama nyingine hakuna jinsi ya kukwepa kurudia maneno yaleyale ya kila mwaka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufaransa:Hatutavumilia tishio la usalama

Ufaransa sasa imemtaka balozi wa Marekani nchini kufika mbele yake kufuatia madai Marekani iliwachunguza marais wawili waliotangulia

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama:'Ebola ni tisho kwa usalama'

Rais wa Marekani Barack Obama, amelitaja janga la Ebola katika kanda ya Afrika Magharibi kuwa kama tisho la usalama wa kimataifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Umaskini, ajira tishio la usalama Afrika Mashariki

Sababu za zinazochochea uvunjifu wa amani na usalama katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa jumla zimetajwa kuwa ni pamoja na umaskini uliokithiri, ukosefu wa ajira sambamba na jamii kuwaachia viongozi pekee jukumu hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani