Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EFM yapiga stori na Wadau wa Tasnia ya Habari za Mitandao

 Mtangazaji wa Radio 93.7 EFM ya jijini Dar es salaam, Samira Kiango (pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Tasnia ya Habari za Mitandao (Social Media), Clarence Mulisa kutoka Global Publishers (kulia), Fredrick Bundara kutoka Bongo Five (pili kushoto) pamoja na Othman Michuzi MTAA KWA MTAA BLOG chini ya Michuzi Media Group, mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mezani, kilichokuwa kikijadili swala zima la Muswada wa Sheria za Makosa ya Mtandao 2015, kilichoruka hewani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

EFM RADIO YAZUNGUMZA NA WADAU WA HABARI ZA MITANDAO

Mtangazaji wa Radio 93.7 EFM ya jijini Dar es Salaam, Samira Kiango (pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Habari za Mitandao, Clarence Mulisa kutoka Global Publishers & General Enterprises Ltd (kulia), Fredrick Bundara kutoka Bongo 5 (pili kushoto) pamoja na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa Blog chini ya Michuzi Media Group, mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mezani, kilichokuwa kikijadili suala zima la...

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema yachochea wadau kupinga madudu ya miswada ya habari, mitandao

mnyikaNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wadau wa habari na taasisi mbalimbali, zikiwemo za kimataifa kuangalia kwa makini na kujadili baadhi ya vifungu vilivyopo katika muswada wa habari ili kuishawishi serikali kutousaini kwa kuwa unalenga kubana uhuru wa vyombo vya habari nchini.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika, alisema miswada yote ya hati ya dharura, hasa ya miamala ya kielektroniki na mitandao ya jamii...

 

9 years ago

Mwananchi

TMF yatumia Sh30 bilioni kuimarisha tasnia ya habari

Mfuko wa Habari Tanzania (TMF) umetumia kiasi cha dola 17.7 za Marekani sawa na Sh38 bilioni katika kuwawezesha waandishi wa habari nchini kuandika habari mbalimbali zikiwepo za uchunguzi na habari za vijijini.  

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa Bodi hiyo, Bw. Benson Mkenda.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester Sengerema akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari

IMG_2832

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MICHEZO KIGANJANI, Kutokupoteza muda mwingi kutafuta habari kupitia namba 15778 Vodacom Tanzania

Meneja Uhusiano wa Umma wa
 Vodacom Tanzania,Matina NkurluWadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla   wanaendelea kupata habari za soka  zinazohusiana na   ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(VPL)Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi yanayohusiana ya burudani kupitia simu zao za mkononi kupitia huduma  maalum iliyozinduliwa mwaka juzi.Katika huduma hiyo ambayo inawafanya wateja kupata burudani ili kupata  taarifa  hizo za michezo na burudani anachotakiwa kufanya mteja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani