Eid el
Eid el-Hajj prayers to be held in Musoma
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
VICE-PRESIDENT Dr Mohamed Gharib Bilal, is on Thursday expected to grace Eid-Al-Hajj, one of the two most important festivals in the Muslim calendar, to be held at national level in Mara region. The Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) Secretary ...
Hajj prayers to be held in Musoma
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IpbZIziOxz8/VNsics6nIjI/AAAAAAAHDBw/XQSpCd8VH7g/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-02-11%2Bat%2B12.03.09%2BPM.png)
Sheikh Muhammad Eid (Abu Eid) kuzungumza na Waumin Kiislam Coventry,UK ijumaa hii
![](http://2.bp.blogspot.com/-IpbZIziOxz8/VNsics6nIjI/AAAAAAAHDBw/XQSpCd8VH7g/s1600/Screen%2BShot%2B2015-02-11%2Bat%2B12.03.09%2BPM.png)
Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) inayo furaha kuwatangazia kuwa Sheikh mwenye ushawishi mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania, Sheikh Muhammad Eid (Abu Eid) yuko nchini Uingereza (United Kingdom) katika ziara ya kida’wa.
Siku ya Ijumaa 13/02/2015 atazungumza na Waumin baada ya swala ya Al jumaa kenye ukumbi wa Al madrasatul Munawarah mjini Coventry kwenye Anuani 88 Paynes Lane, Coventry, CV1 5LJ, UNITED KINGDOM.
Jumamosi tarehe 14/02/2015...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-6lUO3CrqGY0/U9FEW9FGv_I/AAAAAAAAEHI/HT5aau2NVJU/s72-c/logo%2Bcopy.jpg)
Tangazo la EID EL ADHA’ (EID EL HAJJ)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6lUO3CrqGY0/U9FEW9FGv_I/AAAAAAAAEHI/HT5aau2NVJU/s640/logo%2Bcopy.jpg)
Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Adha’ kuadhimisha Kukamilika kwa Ibada Ya Hajj iliyofanywa na Mahujaji Wetu huko Makkah. Thursday September 24, 2015(in shaa Allah) 1. Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El EidKuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Saba Mchana 10AM-1PM & 2. Sherehe za Eid Jioni - Picnic (Cook out)Kuanzia Saa Tisa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania