Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheikh Muhammad Eid (Abu Eid) kuzungumza na Waumin Kiislam Coventry,UK ijumaa hii

ASSALAM ALAIKUM WARAHMATUL LWAHI WABARAKAATUH
Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) inayo furaha kuwatangazia kuwa Sheikh mwenye ushawishi mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania, Sheikh Muhammad Eid (Abu Eid) yuko nchini Uingereza (United Kingdom) katika ziara ya kida’wa.
Siku ya Ijumaa 13/02/2015 atazungumza na Waumin baada ya swala ya Al jumaa kenye ukumbi wa Al madrasatul Munawarah mjini Coventry kwenye Anuani 88 Paynes Lane, Coventry, CV1 5LJ, UNITED KINGDOM.
Jumamosi tarehe 14/02/2015...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

chakula cha pamoja siku ya Eid Mosi coventry

                                 ASSALAM  ALAIKUM

Madrasatul  Aqsaa  Coventry  UK inapenda  kuwajulisha kuwa  tumeandaa chakula cha  pamoja siku  ya  Eid Mosi kama  ifuatavyo:

Kiwango £6 kwa  watu  wazima na £4 kwa  watoto

Pahala: Muslim Resource  centre

               Red Lane, Coventry CV6 5EE

Tunapokea  majina  na  mwisho  ni Jumatatu  Tareh 21/7/2014

Kumbukeni  kwamba  tutaswali  sala ya  Eid  pale  pale  Muslim  Resource  Center.Darasa zentu  zinaendelea  LIVE  kama  kawaida...

 

10 years ago

Michuzi

COMSWA YAADHIMISHA EID EL HAJJ MJINI COVENTRY, UINGEREZA

Jumuiya ya wa-Islam wanaozungumza ki-Swahili ktk mji wa Coventry uliopo nchini Uingereza (United Kingdom), wameadhimisha swala ya Eidil hajj kwa mafaniko makubwa. Pamoja na mambo mengine waliandaa sherehe za Eid ambazo ziliendelea kwa muda wa siku mbili mfulilizo Jumamosi 4/10/2014 na  Jumapili 5/10/2014 ambapo vyakula vya kiasili vitaandaliwa. Sherehe hizo pamoja na mambo mengine  zina malengo ya kuzikusanya pamoja familia kwa ajili ya kujenga jamii yenye nguvu na yenye kuhimizana maadili...

 

10 years ago

Michuzi

Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) wafanikisha swala na sherehe za Eid el Fitr

BismiLlahi Rahman Rahiim, Asalam Alaikum WarahmatuLlwahi Wabarakaatuh...Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) ambayo ni jumuiya ya Waislam wanaozungumza ki- Swahili nchini Uingereza (United Kingdom) hatimaye wameweza kwa mafanikio makubwa kusherehekea Eidil fitr ugenini kama walivyozoweya kusherehekea wakiwa nyumbani. Mafanikio hayo yamekuja ktk kipindi ambacho yalihitajika sana kwa ajili ya kufundisha vizazi vyao maadili mema ambayo yanakwenda sambamba na malengo ya dini yao na...

 

9 years ago

Michuzi

Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) washerehekea Eid el Hajj kwa mafanikio makubwa.

 Ni neema kubwa ambayo imepatikana kwa juhudi kubwa zilizofanywa na viongozi wakishirikiana na wana jamii pamoja na mambo mengine lakini kuhakikisha jamii inakuwa pamoja.

Kipaumbele cha mwanzo ikiwa kuwafundisha vijana na wazee maadili mazuri, aidha kujenga moyo wa kushirikiana na kuhakikisha umoja wenye afya. Ni bahati kubwa kwa watu wa ughaibuni kuweza kukutana ktk mji mmoja wakiwa wanazugumza lugha moja, utamaduni wao mmoja na wana maadili yanayofanana. Ili kuona kwamba hayo yanafanikiwa...

 

9 years ago

Vijimambo

Tangazo la EID EL ADHA’ (EID EL HAJJ)

 
Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha  WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Adha’ kuadhimisha Kukamilika kwa Ibada Ya Hajj iliyofanywa na Mahujaji Wetu huko Makkah. Thursday September 24, 2015(in shaa Allah) 1.     Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El EidKuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Saba Mchana 10AM-1PM & 2.     Sherehe za Eid Jioni  - Picnic (Cook out)Kuanzia Saa Tisa...

 

9 years ago

Hajj Prayers To Be Held In Musoma

Eid el


Eid el-Hajj prayers to be held in Musoma
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
VICE-PRESIDENT Dr Mohamed Gharib Bilal, is on Thursday expected to grace Eid-Al-Hajj, one of the two most important festivals in the Muslim calendar, to be held at national level in Mara region. The Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) Secretary ...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAM ZA EID


Bi Haifa Khamis anamtakia kheri ya Eid kaka yake mpendwa Yahya Khamis na watu wote wa Washington  DC na Maryland

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMA ZA EID

Bi Aisha Othman na Bwana Raul Salah wanawatakia Eid njema wote wa Al Irshaad School Tanzania

 

10 years ago

Vijimambo

EID MUBARAK

CREW NZIMA YA VIJIMAMBO INAWATAKIA WAISLAM WOTE NA WALE WASIO  WAISLAM PAMOJA NA WAPENZI WA VIJIMAMBO SIKUKUU NJEMA YA EID, TUJUMUIKE PAMOJA, TULE,  TUCHEKE, TUSHEREHEKE  NA TUFURAHIKE NA VIJIMAMBO. EID MUBARAK

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani