Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EID MOSI DMV

 Aunty Asha akiwa na baba mwenye nyumba wake kwenye Eid Mosi ya TAMCO iliyoidhinishwa siku ya Ijumaa Wheaton, Maryland  July 17, 2015. Watanzania DMV wakisherehekea Eid Mosi Wheaton, Maryland nchini Marekani. WanaDMV wakiwa kwenye picha ya pamoja.Mapema Asubuhi katika Sala ya Eid.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

Tabora Stand Up; Eid Mosi Wasanii Wafurika Hapatoshi

Shangwe na burudani za kutosha zinatarajiwa kufanyika katika sikukuu ya Eid hapo kesho mkoani Tabora panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu. Mashabiki  mjini Tabora watarajiwa kufurahia onesho hilo katika maeneo mawili tofauti ambapo mchana itakuwa Bwalo la Polisi kuanzia saa 8 mchana na Usiku katika viwanja vya Muungano Mesi kuanzia saa 2 usiku.Wasanii wa kila nyanja wametua mjini hapo na kufanya mahojiano CG Fm Redio leo mchana; wasanii hao ni Kassim Mganga a.k.a tajiri wa mahaba, Ommy Dimpoz,...

 

11 years ago

Michuzi

chakula cha pamoja siku ya Eid Mosi coventry

                                 ASSALAM  ALAIKUM

Madrasatul  Aqsaa  Coventry  UK inapenda  kuwajulisha kuwa  tumeandaa chakula cha  pamoja siku  ya  Eid Mosi kama  ifuatavyo:

Kiwango £6 kwa  watu  wazima na £4 kwa  watoto

Pahala: Muslim Resource  centre

               Red Lane, Coventry CV6 5EE

Tunapokea  majina  na  mwisho  ni Jumatatu  Tareh 21/7/2014

Kumbukeni  kwamba  tutaswali  sala ya  Eid  pale  pale  Muslim  Resource  Center.Darasa zentu  zinaendelea  LIVE  kama  kawaida...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yafunika mbaya Eid Mosi ndani ya Escape One!

DSC_0011

Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony Masamba pamoja na Aneth Kushaba AK47.

DSC_0015

Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ukumbi wa Escape One.

DSC_0306

Mashabiki wa Skylight Band mdogo mdogo wakiachia kwenye dancing floor.

DSC_0243

Sam Mapenzi akitoa burudani...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Eid DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA EID DMV

 Watanzania wa DMV na marafiki zao walijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015 Silver Spring, Maryland.Watanzania waliojumuika pamoja leo kusherehekea sikukuu ya Eid El Haji Silver Spring, Maryland siku ya Alhamisi Septemba 24, 2015.Mama wa mitindo kutoka Tanzania Asya Idarous Khamsini(wapili toka kushoto) akiwa miongoni wa waliojumuika pamoja kusherehekea sikukuu ya Eid DMV kulia ni binti ya mwanamitindo huyo.Sala ya Magharibi ikiendelea


 

10 years ago

Dewji Blog

The Stars Band kuzinduliwa rasmi Eid Mosi ndani ya Mzalendo Pub

IMG-20150715-WA0008

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Bendi mpya  ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Anneth Kushaba inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikitarajiwa kusindikizwa na mwanamuziki Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’

Kiongozi wa Stars Band, Kushaba anasema kuwa, tayari wapo katika mazoezi mbalimbali na ‘crew’ nzima ya bendi hiyo ambayo inaunganisha...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE!‏

Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony Masamba pamoja na Aneth Kushaba AK47. Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ukumbi wa Escape… ...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA EID EL FITR DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid iliyofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani